We need total reshuffle or overhaul the whole jeshi la police.. Kwakuwa viwango vya kuruhusu mtu kusomea upolisi viko chini sana! Mara nyingi form four failure ndio huchukuliwaPurpose ya cross examination ni kuonesha udhaifu wa shahidi ie to discredit his evidence.
1. Nadhani Lisu ameweza kuonesha kuwa shahidi ni mwongo! Alikuwa anakataa vitu ambavyo kama mpelelezi wa polisi ngazi ya juu, anapashwa kuvijua. Kama havijui basi hafai kuaminiwa katika ushahidi wake.
2. ....
No excusesSidhani Kama wengine waliosalia wanatamani kukutana na Jamaa.
Anawapika vibaya mno.
We need total reshuffle or overhaul the whole jeshi la police.. Kwakuwa viwango vya kuruhusu mtu kusomea upolisi viko chini sana! Mara nyingi form four failure ndio huchukuliwa
Ingefaa awarost kabisa halafu awaandalie mlo wale drone wa wanamtandao.Sidhani Kama wengine waliosalia wanatamani kukutana na Jamaa.
Anawapika vibaya mno.
Wangapi?Shahidi ameonesha Polisi wakubwa Tanzania wana ujinga mkubwa sana.