Shahidi wa kwanza Kesi ya Lisu amemaliza, let us put down what has been achieved by both sides

Jeshi la polisi linahitaji mabadiliko makubwa ya haraka sana. Kuanzia katika vigenzo vya kujiunga na mafunzo. Ukiangalia cheo cha shahidi na namna anavyojibu unaona kabisa hapa kuna shida.
Hawa watu ndio tunawetegemea watulinde sisi na mali zetu. Hii kesi ya "mchongo" itafunua mambo mengi mazito. Tusubiri hao mashahidi wengine tusikie habari zao.
 
Tuliona ile ze-komedi kwenye kesi ya Mbowe vs Jamhuri.

Mwisho hukumu ikatoka wakatiwa hatiani.

Nao wasitupotezee muda watoe hiyo hukumu tuendelee na mengine.
 
Kajikanyaga vibaya mno.

Mwanzo alikataa kwamba hajui Lisu alishawahi kupigwa risasi baadaye akajikanyaga tena kwamba anakumbuka .
 
Kwa nchi yetu hata kuna anaejali sasa? Watakuja wa hivyo alafu subiri hukumu utaona.

By the way hukumu itakuwa imeshaandikwa wanasubiri kuisoma tu
Inasikitisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…