Shahidi wa mwajiri agoma kutokea kwenye hearing

Shahidi wa mwajiri agoma kutokea kwenye hearing

Ushahidi wa kuweka loudspeaker sijawahi kuusikia na mtu akiwa kwenye mapenzi unajuaje unakua unawachungulia au vipi? Kesi ndogo hiyo kata rufaa
Tena nilikuwa nimeshika karatasi ambayo nilikuwa nimeandika maswali yangu, nikaambiwa siruhusiwi kusoma. Swali langu je shahidi wa mwajiri anaangaliwa na nani huko aliko kama hasomi sehemu au hafundishwi. Pia nitajuaje kama ndiye yule dada au ni mtu mwingine?
 
Kama ni discipline hearing ndani ya taasisi uliyokua unafanya kazi kushinda hua ni ngumu, sababu kuu ni kwamba hawakutaki ila wanatengeneza mazingira tu kwamba ionekane umefukuzwa kihalali usiwasumbue huko mbele.

Kama unamda na nguvu nenda CMA tu.
 
Ahsante mkuu niko kwenye mchakato kwenda CMA
 
Nao
Uhamiaji walikuwa wanapewa taarifa wanakuja kisha wanaondoka, labda wanaingia nchini kihalali.
Naomba number ya HR ni mdinye kwa sababu wabongo tuna umizana sana makazini kisa wahindi na wakenya leta namba haraka
 
Miaka 20 unafanya kazi SEHEMU Moja ULIKUWA unatafuta URITHI mkuu

Nxtym usifanye kazi zaidi ya miaka 5 HATA kama wanatoa mzigoo mwisho wao haukogo MZURI mkuu take ma words

Mi nimekaa sana 7 nanyànyuka napambana kwingine 5 nanyanyuka nkapiga 6 SEHEMU nkaaga nkamaliza na kwingine 4 nkaingia uraiani kupambana na BODI haikuamini maana sikuwa kwenye mambo ya pesa huyu Nampa helà nzuri shida nn nkamwambiaa tu mkuu nahitaji changamoto ya mtaan wakaniomba miezi mitatu nisaidie anaepishana na mm nkamfundisha safi mwonyesha changamoto maisha yakaendaa...
 
Wahi CMA FASTA
HUYO N MSHENZI
HAKIKISHA UJAFIKISHA SIKU 61
IMEKULA KWAKO
UWE NA BARUA YA KUKUFUKUZW KAZI
 
Habari wakuu wa sheria, nimekuja mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba msaada wa kishelia.
Nitajitahidi kuifupisha kadri iwezekanapo lakini mtaelewa ninachoomba kutoka kwenu.
Mimi nilikuwa ni mtumishi kwenye taasisi moja binafsi, nimefanya kazi kwa miaka zaidi ya ishirini kwenye hio taasisi. Hivi karibuni taasisi hio amekuwa ikifanya vibaya na kushindwa kujiendesha kutokana na kupata ushindani wa kibiashara. Wafanyakazi waliofanya miaka mingi kwenye hio kampuni wameanza kufukuzwa kazi kwa makosa yasio na maana yoyote tena wanafukuzwa bila malipo. Kuna baadhi ya wafanyakazi wamefukuzwa kwa kesi za kutengenezwa. Mimi pia ni mmoja wa wafanyakazi ambao tumefukuzwa kazi kwa kutengenezewa kesi ili nisilipwe haki zangu.

Mambo ya kisheria ninayohitaji kujua ambayo yamenileta hapa.

1. Ni haki mfanyakazi mdogo kufukuzwa kazi kwa makosa yaliofanywa na meneja wake? Nimefukuzwa kazi kwa madai kwamba nilifahamu meneja wangu anamahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi mwenzake lakini mimi sikuripoti. Wanasema kosa langu ni gross negligence ( uzembe mkubwa) Naomba angalieni hapo kama kutokuripoti kumefikia levo ya kuitwa gross negligence.

2. Shahidi wa mwajili ambaye ni yule binti aliyekuwa anatoka kimepenzi na meneja wangu alitakiwa kufika kwenye hearing ili aeleze mimi nilijuaje kama anamahusiano na meneja wangu, kwa sababu yeye ndiye aliyesema mimi nilikuwa najua. Shahidi huyo hakufika kwenye hearing kwa sababu ni mjamzito na hajisikii vizuri. HR aliamua kumpigia simu na kuweka loud speaker ili aweze kutoa ushahidi kupitia simu. Kishelia hii inaruhusiwa, mwajili anampigia simu shahidi wake atoe ushahidi kwa njia hio?

3. Nilipopewa nafasi ya kumwuliza maswali huyo dada nilimwuliza swali moja kwamba kwa nini aliniambia mimi kama anatoka kimapenzi na meneja wangu, huyo dada akaanza kulia kisha akakata simu. HR akaniambia niulize maswali mepesi kwa sababu shahidi wake hajisikii Vizuri. Kisheria hapo nimetendewa haki?

Mwisho wa yote mwajili akanifukuza kazi kwa kosa la kutoripoti. Naomba wajuzi wa sheria waangalie hapo kama kisheria ilitakiwa kufukuzwa kazi au ni njia tu ya kuniibia mafao yangu ya utumishi wa muda mrefu.

Kama kuna ufafanuzi utahitajika niko tayari kuongezea hapo nimeandika kiufupi.

Nawasiliaha wakuu.
Kufanya kazi kwa wahindi kazi
 
Miaka 20 unafanya kazi SEHEMU Moja ULIKUWA unatafuta URITHI mkuu

Nxtym usifanye kazi zaidi ya miaka 5 HATA kama wanatoa mzigoo mwisho wao haukogo MZURI mkuu take ma words

Mi nimekaa sana 7 nanyànyuka napambana kwingine 5 nanyanyuka nkapiga 6 SEHEMU nkaaga nkamaliza na kwingine 4 nkaingia uraiani kupambana na BODI haikuamini maana sikuwa kwenye mambo ya pesa huyu Nampa helà nzuri shida nn nkamwambiaa tu mkuu nahitaji changamoto ya mtaan wakaniomba miezi mitatu nisaidie anaepishana na mm nkamfundisha safi mwonyesha changamoto maisha yakaendaa...
Wanaofanya kwa wahindi huwa wanapewa limbwata,niaka 20 bado uko junior position
 
Miaka 20 unafanya kazi SEHEMU Moja ULIKUWA unatafuta URITHI mkuu

Nxtym usifanye kazi zaidi ya miaka 5 HATA kama wanatoa mzigoo mwisho wao haukogo MZURI mkuu take ma words

Mi nimekaa sana 7 nanyànyuka napambana kwingine 5 nanyanyuka nkapiga 6 SEHEMU nkaaga nkamaliza na kwingine 4 nkaingia uraiani kupambana na BODI haikuamini maana sikuwa kwenye mambo ya pesa huyu Nampa helà nzuri shida nn nkamwambiaa tu mkuu nahitaji changamoto ya mtaan wakaniomba miezi mitatu nisaidie anaepishana na mm nkamfundisha safi mwonyesha changamoto maisha yakaendaa...
Ndio hivyo mkuu nilikomaa kwenye hio kampuni wakanipandisha cheo. Mwanzo nilikuwa normal guard.
 
Back
Top Bottom