- Thread starter
- #21
Sawa mkuu niko kwenye mchakato huo.Wapeleke chapu mahakamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu niko kwenye mchakato huo.Wapeleke chapu mahakamani
Wannashikilia mali za KampuniKampuni yenyewe haifikishi hizo pesa mkuu. Itakuwaje?[emoji38][emoji38]
Ndio hivyo mkuu, nimelipwa nauri, na siku nilizokuwa nimefanya kaziKwamba ukifukuzwa kazi ndo haulipwi mafao ni sheria ya wapi hii?
Tena nilikuwa nimeshika karatasi ambayo nilikuwa nimeandika maswali yangu, nikaambiwa siruhusiwi kusoma. Swali langu je shahidi wa mwajiri anaangaliwa na nani huko aliko kama hasomi sehemu au hafundishwi. Pia nitajuaje kama ndiye yule dada au ni mtu mwingine?Ushahidi wa kuweka loudspeaker sijawahi kuusikia na mtu akiwa kwenye mapenzi unajuaje unakua unawachungulia au vipi? Kesi ndogo hiyo kata rufaa
Hapana sio G4S, nimejaribu kuficha identity ya hio kampuni kwa sababu sina ujuzi wa kisheria nisije nikaharibu nataka kwenda mahakamani (CMA)Hiyo kampuni n G4S Acha kuwaficha
Ahsante mkuu niko kwenye mchakato kwenda CMAKama ni discipline hearing ndani ya taasisi uliyokua unafanya kazi kushinda hua ni ngumu, sababu kuu ni kwamba hawakutaki ila wanatengeneza mazingira tu kwamba ionekane umefukuzwa kihalali usiwasumbue huko mbele.
Kama unamda na nguvu nenda CMA tu.
Naomba number ya HR ni mdinye kwa sababu wabongo tuna umizana sana makazini kisa wahindi na wakenya leta namba harakaUhamiaji walikuwa wanapewa taarifa wanakuja kisha wanaondoka, labda wanaingia nchini kihalali.
Kufanya kazi kwa wahindi kaziHabari wakuu wa sheria, nimekuja mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba msaada wa kishelia.
Nitajitahidi kuifupisha kadri iwezekanapo lakini mtaelewa ninachoomba kutoka kwenu.
Mimi nilikuwa ni mtumishi kwenye taasisi moja binafsi, nimefanya kazi kwa miaka zaidi ya ishirini kwenye hio taasisi. Hivi karibuni taasisi hio amekuwa ikifanya vibaya na kushindwa kujiendesha kutokana na kupata ushindani wa kibiashara. Wafanyakazi waliofanya miaka mingi kwenye hio kampuni wameanza kufukuzwa kazi kwa makosa yasio na maana yoyote tena wanafukuzwa bila malipo. Kuna baadhi ya wafanyakazi wamefukuzwa kwa kesi za kutengenezwa. Mimi pia ni mmoja wa wafanyakazi ambao tumefukuzwa kazi kwa kutengenezewa kesi ili nisilipwe haki zangu.
Mambo ya kisheria ninayohitaji kujua ambayo yamenileta hapa.
1. Ni haki mfanyakazi mdogo kufukuzwa kazi kwa makosa yaliofanywa na meneja wake? Nimefukuzwa kazi kwa madai kwamba nilifahamu meneja wangu anamahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi mwenzake lakini mimi sikuripoti. Wanasema kosa langu ni gross negligence ( uzembe mkubwa) Naomba angalieni hapo kama kutokuripoti kumefikia levo ya kuitwa gross negligence.
2. Shahidi wa mwajili ambaye ni yule binti aliyekuwa anatoka kimepenzi na meneja wangu alitakiwa kufika kwenye hearing ili aeleze mimi nilijuaje kama anamahusiano na meneja wangu, kwa sababu yeye ndiye aliyesema mimi nilikuwa najua. Shahidi huyo hakufika kwenye hearing kwa sababu ni mjamzito na hajisikii vizuri. HR aliamua kumpigia simu na kuweka loud speaker ili aweze kutoa ushahidi kupitia simu. Kishelia hii inaruhusiwa, mwajili anampigia simu shahidi wake atoe ushahidi kwa njia hio?
3. Nilipopewa nafasi ya kumwuliza maswali huyo dada nilimwuliza swali moja kwamba kwa nini aliniambia mimi kama anatoka kimapenzi na meneja wangu, huyo dada akaanza kulia kisha akakata simu. HR akaniambia niulize maswali mepesi kwa sababu shahidi wake hajisikii Vizuri. Kisheria hapo nimetendewa haki?
Mwisho wa yote mwajili akanifukuza kazi kwa kosa la kutoripoti. Naomba wajuzi wa sheria waangalie hapo kama kisheria ilitakiwa kufukuzwa kazi au ni njia tu ya kuniibia mafao yangu ya utumishi wa muda mrefu.
Kama kuna ufafanuzi utahitajika niko tayari kuongezea hapo nimeandika kiufupi.
Nawasiliaha wakuu.
Wanaofanya kwa wahindi huwa wanapewa limbwata,niaka 20 bado uko junior positionMiaka 20 unafanya kazi SEHEMU Moja ULIKUWA unatafuta URITHI mkuu
Nxtym usifanye kazi zaidi ya miaka 5 HATA kama wanatoa mzigoo mwisho wao haukogo MZURI mkuu take ma words
Mi nimekaa sana 7 nanyànyuka napambana kwingine 5 nanyanyuka nkapiga 6 SEHEMU nkaaga nkamaliza na kwingine 4 nkaingia uraiani kupambana na BODI haikuamini maana sikuwa kwenye mambo ya pesa huyu Nampa helà nzuri shida nn nkamwambiaa tu mkuu nahitaji changamoto ya mtaan wakaniomba miezi mitatu nisaidie anaepishana na mm nkamfundisha safi mwonyesha changamoto maisha yakaendaa...
Ndio mkuu nitafanya hivyo ndani ya siku chache zijazoWahi CMA FASTA
HUYO N MSHENZI
HAKIKISHA UJAFIKISHA SIKU 61
IMEKULA KWAKO
UWE NA BARUA YA KUKUFUKUZW KAZI
Ndio hivyo mkuu nilikomaa kwenye hio kampuni wakanipandisha cheo. Mwanzo nilikuwa normal guard.Miaka 20 unafanya kazi SEHEMU Moja ULIKUWA unatafuta URITHI mkuu
Nxtym usifanye kazi zaidi ya miaka 5 HATA kama wanatoa mzigoo mwisho wao haukogo MZURI mkuu take ma words
Mi nimekaa sana 7 nanyànyuka napambana kwingine 5 nanyanyuka nkapiga 6 SEHEMU nkaaga nkamaliza na kwingine 4 nkaingia uraiani kupambana na BODI haikuamini maana sikuwa kwenye mambo ya pesa huyu Nampa helà nzuri shida nn nkamwambiaa tu mkuu nahitaji changamoto ya mtaan wakaniomba miezi mitatu nisaidie anaepishana na mm nkamfundisha safi mwonyesha changamoto maisha yakaendaa...
Safi mkuu wawahi CMA na sikuhizi CMA wanajibu fastaaNdio hivyo mkuu nilikomaa kwenye hio kampuni wakanipandisha cheo. Mwanzo nilikuwa normal guard.
NashukuruSafi mkuu wawahi CMA na sikuhizi CMA wanajibu fastaa
Ahsante mkuuPole