William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Huu NI mtego mkubwa Sana kwa Jamuhuli na Serikali na mihimili yake.
Nachojua kesi hii inatumika kuionesha dunia Jinsi Mahakama zetu zilivyo huru au hovyo.
Sijui kwanini Jaji hakutaka pande zote zijiridhishe kilichopo kwenye note book palepale. Na kuchengesha kuikagua cm kuwa NI privace ya muhusika. J, nini kinaweza kutokea baadae.
Je, mawakili wote wataamini kuwa vitu hivyo viko sehemu salama mpaka Jumatatu? Nasema hivyo sababu mpaka Sasa Kuna mvutano wa kielelezo kingine kilivyomfikia shaidi kutokea mahakamani.
Kuwepo na note book pekeyake na mwandishi yoyote Yale ata Kama yakisomwa hayataonesha uhusiano na kesi husika NI dosari kwani inawezekana shaidi kaandika na kuwasiliana kwa kutumia Lugha za kipekee(alama na ishara) anaweza akatumia neno yai kumaanisha sifuri au namna yoyote anavyojua kuweka kumbukumbu zake.
Simu Ina sehemu nyingi za kuwasiliana. Ata mtu anaweza sema nikibip tu sema sijui. Au namna yoyote ile.
Mi nadhani labda Jumatatu ije simu mbovu isiyo na laini yoyote na note book mpya isiyo na maandishi ili akinakibatala wabaki na hoja moja tu kutoamini sehemu vilipotunzwa vitu.
Ila makosa yanayofanywa na Jamhuri ni makubwa Sana.