Shaidi wa Jamhuri kuingia na simu na notebook Kizimbani kwenye kesi ya Mbowe; umakini unaitajika kulinda taswira ya Mahakama

Pengine nisaidiwe wakuu, je huwa hairuhusiwi kwa shahidi kuwa na sim na notebook au chochot?? Hata Kama hakitumii??
 

Kuna siku ulikuja na uzi humu ukitaka kuonyesha hiyo mawawikili wa upande wa utetezi wawe makini sijui kesi ni ngumu. Tulikuambia hakuna kesi pale bali siasa chafu za ccm ndio zimepelekwa hadi mahakamani. Ukiacha ushahidi wa kihuni wa jamuhuri, tayari mahakama inaonyesha ina upande, na sasa wanazidi kuumbuka. Hicho kielelezo tu kuwafikia mashahidi wa jamuhuri ni kosa kubwa sana na huo ni ushahidi hakuna mahakama hapo.

Jaji anamuachia shahidi wa jamuhuri simu, wakati polisi huwa wanakamata simu za watu na hawakubali kuzirudisha mpaka itokee mivutano? Yeye amempaje shahidi simu? Si bora akina Mbowe waachiwe wawe wanafiki mahakamani tokea nyumbani?
 
itatolewa amri kila mtu aache simu nje akiingia mahakamani- ngoja mchelelee tu

Hakuna sheria inayozuia mtu kuingia na simu mahakamani, bali hiyo hairuhusiwi kwa shahidi. Hata ikitolewa amri kama hiyo ni kinyume na sheria na lengo lake ni kuficha jamuhuri kuendelea kuumbuka.
 
We unajifanya mjuvi wa lugha, nawe pia umeandika utumbo kuwakilisha chama gani? Neno gani hili la kiswahili "watufutiwe". Acha ujinga jenga hoja.
 
Nilimshangaa sana Jaji. Kibatala aliuliza ni wapi vielelezo hivyo vitatunzwa, Jaji kwa haraka akajibu vitatunzwa mahakamani. Nikamshangaa sana. Yaani mahakama ambayo ina-collude na upande wa mashtaka, halafu inatoa nyaraka kinyume na taratibu, eti ndiyo itunze notebook itakayokaguliwa kesho. Completely nosense.
 
Kwani kuna nafasi gani ya ulaji hivi karibuni? Anafukuzia kitu hapo daaa.....kesi zenye interest za wana siasa mbaya sana.....mihemko.com
 
ni sheria ipi inazuia shahidi kuwa na vitu hivyo kizimbani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…