Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Pesa haturudishi na Bandari hupati!!Mlikubali wenyewe, bila mtutu kichwani,
Mkaazimu nipewe, kwa udi na kwa ubani,
Akasaini mwenyewe, kwa agizo la fulani,
Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu.
Aliyeleta mzozo, ni mtoto mtukutu,
Akavujisha uozo, ukafika hadi Mbutu,
Wakatilia mkazo, wananzengo wenye utu,
Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu.
Mimi boss la DP, sina kinyongo rohoni,
Hata UNDP, nao wananitamani,
Similiki tu DP, nina midege angani,
Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu.
Labda mnipe mkePesa haturudishi na Bandari hupati!!
Pesa zako kala Msukuma.Rudisheni pesa zangu
Da shairi limenichekesha !Mlikubali wenyewe, bila mtutu kichwani,
Mkaazimu nipewe, kwa udi na kwa ubani,
Akasaini mwenyewe, kwa agizo la fulani,
Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu.
Aliyeleta mzozo, ni mtoto mtukutu,
Akavujisha uozo, ukafika hadi Mbutu,
Wakatilia mkazo, wananzengo wenye utu,
Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu.
Mimi boss la DP, sina kinyongo rohoni,
Hata UNDP, nao wananitamani,
Similiki tu DP, nina midege angani,
Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu.
Lipeni tozo huko nirudishiwe pesa zangu.Wakawadai hao hao waliowapa rushwa na watuachie bandari yetu!
CCM imetufanyia wizi mkubwa sana nchi hii!
shairi zuri [emoji23][emoji23]Mlikubali wenyewe, bila mtutu kichwani,
Mkaazimu nipewe, kwa udi na kwa ubani,
Akasaini mwenyewe, kwa agizo la fulani,
Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu.
Aliyeleta mzozo, ni mtoto mtukutu,
Akavujisha uozo, ukafika hadi Mbutu,
Wakatilia mkazo, wananzengo wenye utu,
Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu.
Mimi boss la DP, sina kinyongo rohoni,
Hata UNDP, nao wananitamani,
Similiki tu DP, nina midege angani,
Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu.
Mchukueni tyu.Labda mnipe mke
Rudisheni changu.Mchukueni tyu.