Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Na mimi nasema kwetu Nyegezi na nyege ni kunyegezana.
Nimepanda basi Nyegezi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nasema kwetu Nyegezi na nyege ni kunyegezana.
Apparently it is the only thing they can do. Even then, they fvck it up.BASATA wana overreact sana.
Badala ya kuweka utaratibu maalumu [kama vile PG-13 au Parental Advisory: Explicit Lyrics], wao wanakimbilia kufungia fungia tu.
Nachukiaga sana wanapozifungia nyimbo za wasanii.
Unaelekea SengeremaNimepanda basi Nyegezi.....
Nyege ni kunyegezana, kunyegezana kwa Nyege!!...Nyege ni kunyegezana. Karibuni tunyegezane....
Shairi mujarabu kabisa! Shairi enzi sanaa inaongozwa na wanasanaa na sio hawa ambao leo unawakuta BASATA au Bodi ya Filamu si kwa sababu wana passion ya sanaa bali kwa sababu, huko ndiko walikodondokea kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku!Peni yangu Andanenga, uwino unapotona,
Mantiki huzilenga, na balagha na bayana,
Hufaidika malenga, huvurugika akina,
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Msemo wa Kiswahili, nyege ni kunyegezana,
Maana yaki kamili, wema ni kutendeana,
Wasiojua fasili, hunamba nimetukana,
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Ni msemo maarufu, ambao shaka hauna,
Kwenye kamusi sanifu, funueni mtaona,
Niwezeje kukashifu, nami mwana muungwana!
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Ninataja ukurasa, wazi hapa naunena,
Soma mbili moja tisa, soma bila ya fitina,
Msemo siyo wa sasa, si juzi licha wa jana,
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Ushairi kubwa fani, mithili yake haina,
Kujua zake bayani, yataka kikubwa kina
Muoneni mwafulani, hata kuku wamguna,
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Ulipotamkwa mlo, kaja akitunatuna,
Akakabwa koromelo, akabaki kugunaguna,
Kabakia lolololo, uzamani umechina,
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Alhaji Jitukali, pokea pongezi tena,
Kikubwa chako kilili, hapandi yule mtwana,
Atuache tule wali, yeye ugali wa dona,
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Kaditama wa Busara, na Mbwezi heko kijana,
Pongezi ndugu Kagera, Yobu has ante sana,
Ndimi Mshairi Bora, kipofu ninaeona,
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
(Mshairi Bora)
Amiri A. S. Andanenga (Sauti ya Kiza)
SLP 4775,
Kinondoni Shamba
Dar es salaam.
Shairi mujarabu kabisa! Shairi lilitenziwa enzi sana inaongozwa na wanasanaa na sio hawa ambao leo unawakuta BASATA au Bodi ya Filamu si kwa sababu wana passion ya sanaa bali kwa sababu, huko ndiko walikodondokea kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku!
Hii nchi haiishi viroja! Halafu sijui kwanini tunapenda kujificha kwenye kichaka cha maadili wakati ni unafiki mtupu!!! Sijui kwanini tunapenda sana ku-deal na petty issues!!
Siku kadhaa zilizopita nikiwa kwenye group la wana-Bongo Movie, tulikuwa tunajadili viroja sawa na hivi vinavyofanywa na Bodi ya Filamu manake na wenyewe ni bure kabisa, tena heri ya hao BASATA! Yaani BASATA na Bodi ya Filamu wanamfungia Wema Sepetu kisa kupigwa denda na video kwenda Instagram huku taifa likitoa leseni kwa channels ambazo zinaonesha filamu zenye maudhui ya matusi zaidi kuliko hayo ya Wema kupigwa denda!!
BASATA wanafungia wimbo wa Mwanza ili the so called watoto WASISIKIE maneno "nyege nyege nyegezi" wakati huko huko YouTube kuna videos Made In Tanzania ambazo zinaonesha video za kukojoza kabisa lakini wanahangaika na maneno "nyege nyege nyegezi"
Hata hivyo, siwezi kushangaa manake ni BASATA hawa hawa walifungia/wamefungia wimbo Bongo Bahati Mbaya kwa sababu ambazo kila nikihoji watetezi wa BASATA, bado hakuna hata mmoja aliyewahi kuniambia ni sababu zipi hasa za msingi zilizofanywa BBM iwe blacklisted!
Kula ni kulishana.11. Kula ni kulana
I am very certain, hawalifahamu!!!!Sitoshangaa kabisa endapo hao waliopo BASATA kwa sasa wakiwa hawalijui hili shairi!!!
Enzi sanaa ina wenye sanaa yao!!!Mama Mwanahela anakuambia "mkunaji na mkunwa huona raha ni nani"
Unaangalia kuanzia sekunde ya kwanza hadi pale maandishi yanapotokea THE END!!Hivi, yale matovuti ya Kimarekani yanayohusu ngono [xhamster, xxvideos, pornhub nk] bongo hayapatikani au?
Kama nina simu janja na nikanunua bando langu la kutosha siwezi kuangalia mambo ya akina Riley Reid na Cherokee D’Ass???
Nakuunga mkono Chige.Unaangalia kuanzia sekunde ya kwanza hadi pale maandishi yanapotokea THE END!!
Usha ambiwa wema ni kutendeanaNyege ni kunyegezana. Karibuni tunyegezane....
Usha ambiwa wema ni kutendeana