Shairi: Nyege ni kunyegezana by Andanenga

BASATA wana overreact sana.

Badala ya kuweka utaratibu maalumu [kama vile PG-13 au Parental Advisory: Explicit Lyrics], wao wanakimbilia kufungia fungia tu.

Nachukiaga sana wanapozifungia nyimbo za wasanii.
Apparently it is the only thing they can do. Even then, they fvck it up.

"YOU HAD ONE JOB!"
 
Hii nchi haiishi viroja! Halafu sijui kwanini tunapenda kujificha kwenye kichaka cha maadili wakati ni unafiki mtupu!!! Sijui kwanini tunapenda sana ku-deal na petty issues!!

Siku kadhaa zilizopita nikiwa kwenye group la wana-Bongo Movie, tulikuwa tunajadili viroja sawa na hivi vinavyofanywa na Bodi ya Filamu manake na wenyewe ni bure kabisa, tena heri ya hao BASATA! Yaani BASATA na Bodi ya Filamu wanamfungia Wema Sepetu kisa kupigwa denda na video kwenda Instagram huku taifa likitoa leseni kwa channels ambazo zinaonesha filamu zenye maudhui ya matusi zaidi kuliko hayo ya Wema kupigwa denda!!

BASATA wanafungia wimbo wa Mwanza ili the so called watoto WASISIKIE maneno "nyege nyege nyegezi" wakati huko huko YouTube kuna videos Made In Tanzania ambazo zinaonesha video za kukojoza kabisa lakini wanahangaika na maneno "nyege nyege nyegezi"

Hata hivyo, siwezi kushangaa manake ni BASATA hawa hawa walifungia/wamefungia wimbo Bongo Bahati Mbaya kwa sababu ambazo kila nikihoji watetezi wa BASATA, bado hakuna hata mmoja aliyewahi kuniambia ni sababu zipi hasa za msingi zilizofanywa BBM iwe blacklisted!
 
Naomba kukumbushwa lile shairi la baiskeli la hao malenga wa zamani
 
Shairi mujarabu kabisa! Shairi enzi sanaa inaongozwa na wanasanaa na sio hawa ambao leo unawakuta BASATA au Bodi ya Filamu si kwa sababu wana passion ya sanaa bali kwa sababu, huko ndiko walikodondokea kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku!
 

Sitoshangaa kabisa endapo hao waliopo BASATA kwa sasa wakiwa hawalijui hili shairi!!!
 

Hivi, yale matovuti ya Kimarekani yanayohusu ngono [xhamster, xxvideos, pornhub nk] bongo hayapatikani au?

Kama nina simu janja na nikanunua bando langu la kutosha siwezi kuangalia mambo ya akina Riley Reid na Cherokee D’Ass???
 
Sauti ya kiza, umenikumbusha kitambo mkuu, Salute kwako comrade.
 
Mama Mwanahela anakuambia "mkunaji na mkunwa huona raha ni nani"

 
Hivi, yale matovuti ya Kimarekani yanayohusu ngono [xhamster, xxvideos, pornhub nk] bongo hayapatikani au?

Kama nina simu janja na nikanunua bando langu la kutosha siwezi kuangalia mambo ya akina Riley Reid na Cherokee D’Ass???
Unaangalia kuanzia sekunde ya kwanza hadi pale maandishi yanapotokea THE END!!
 
Unaangalia kuanzia sekunde ya kwanza hadi pale maandishi yanapotokea THE END!!
Nakuunga mkono Chige.
Hata kama kuna wimbo unaimba to.mba to.mba hakuna haja ya kufungia kwanza huo utamaduni wa Mtanzania uko wapi!! Au tunaigiza tu. Kazi ya Basata isiwe kutafakari matusi kwenye wimbo kazi yao iwe ni kusikiliza mtiririko wa wimbo na melody basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…