Shairi: Nyege ni kunyegezana by Andanenga

Bhana eh! Hilo suali la utamaduni wa Mtanzania ni upi na hayo tunayoita maadili ni yapi, but trust me, hili swal sijawahi kujibiwa kabisa labda waje hapa akina brave one watusaidie sie vilaza!!

Na mimi hawa jamaa, husasani Bodi ya Filamu, mwaka wowote tutapelekana tu mahakamani manake nina nyege sana ya kutengeneza political thriller series! Ingawaje sikusudii ku-base upande wowote politically, but am sure kama nitaanza kupeleka script Bodi ya Filamu basi script yangu wataipiga chini na kama nita-produce bila kupeleka script, am certain watanifungia!

Lakini watanifungia sio kwa sababu kutakuwa na sababu za msingi za kunifungia bali hawa jamaa, both BASATA & Bodi ya Filamu hawaijui kabisa sanaa!! Hawajui kabisa kufanya artistica interpretation na matokeo yake, huwa wanayatafsiri maudhui kama yalivyo... in a very layman way!!
 
Haya G....karibu tunyegezane basi....
Jambo baya kbs ni kwamba taasis ya kiswahili Tanzania inajisahau sana, yaan inaacha maneno mengi sana ya kiswahili yatumike kiutusi utusi tu, kuliko yanavyopaswa kutumia kwenye jamii.

Mfano neno kutia..
Kutembea
Mtarimbo
 
Hahaaaa hivi ule wimbo wa Lady Jay Dee wa Mtarimbo umelala doro nao ulifungiwaga?
 
Hahaaaa hivi ule wimbo wa Lady Jay Dee wa Mtarimbo umelala doro nao ulifungiwaga?
Haukufungiwa.
Mimi kuna jambo sielewi kabisa hivi moja ya sababu za lugha kuwa pana si Pamoja na maneno yake yawe yanatumika sana? Vinginevyo hilo neno litakufa, likifa inamaana misamiati atapungua?
 
Braza hivi utamaduni wa Nchi huwa unawekwa kwenye maandishi? Ningefurahi mkuu ukinipatia reference ya tamaduni kadhaa zilizowekwa kwenye maandishi!
 
UtasomaView attachment 935724

Kila kitu kipo wazi hapo maana ya huo msemo ni hiyo baada ya neno ~ni kunyegezana

Sasa kwa akili yako unadhani nilikuwa sijui au...??

Kamusi za Kiswahili ninazo zaidi 10 na kila siku huwa nazisoma.

Hivyo, narudia tena, wewe huna mamlaka ya kuniagiza nikasome kamusi.

Sikuuanzisha huu uzi kwa lengo la kujua maana ya hiyo methali.

Maana na lengo langu la kuuanzisha huu uzi ni tofauti kabisa na inavyoonekana ulivyoelewa.
 
Braza hivi utamaduni wa Nchi huwa unawekwa kwenye maandishi? Ningefurahi mkuu ukinipatia reference ya tamaduni kadhaa zilizowekwa kwenye maandishi!
Hakuna hata mmoja miongoni mwa wale wanaojifanya kutetea maadili na utamaduni ambae anaweza kujibu hilo swali!
 
Nyege ni kunyegezana, ni methali inayomaanisha wema kutendeana
BASATA hawajali hayo... ili mradi hapo kuna neno NYEGE, kwao wao hilo ni kosa kubwa sana! Tena hata ukiwapa hiyo interpretation yako, lazima wataipeleka kwenye kingono ngono.
 
BASATA hawajali hayo... ili mradi hapo kuna neno NYEGE, kwao wao hilo ni kosa kubwa sana! Tena hata ukiwapa hiyo interpretation yako, lazima wataipeleka kwenye kingono ngono.
Neno NYEGE likisimama peke yake humaanisha kichocheo cha ngono, haibadiliki maana abadani.

Ila ikiwa NYEGE NI KUNYEGEZANA ndiyo humaanisha wema ni kutendeana.. Hii ni maana nzima ya methali, haitolewi maana kwa neno moja tu. Ukijaribu hivyo jua umemaanisha ashiki
 
Kibaya zaidi unakuta hata kwenye sherehe za harusi utaskia let the groom kiss the bride, watu wanashangilia haswaaaa... Na chereko chereko inarushwa. Afu wema akibusiwa anafungiwa. Hii nchi ya ajabu kweli
 
Umeona enh! Tena live mbele za watu but it's okay! Watetezi wa huu unafiki utawasikia "wasanii ni kioo cha jamii" as if hayo maovu wanayoyafanya wameyaiga toka kwa wasanii!!! Mbaya zaidi, wala hawafahamu interpretation halisi ya "wasanii ni kioo cha jamii!"
 
Mzee wa shamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kiswahili kina raha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…