Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Yaani hovyo kabisa.Mzanzibar mwenzake hivyo lazima walindane
Ndiyo tumefikia hukoYaani hovyo kabisa.
...ni kweli kabisa.Tabia ya kufungana midomo inazidi kuota mizizi, na hii inasababishwa na teuzi zinazotolewa kwasababu ya kujipendekeza kwa viongozi, matokeo yake wengi wa wateuliwa wanageuzwa watumwa wa kifikra wa mabosi wao.
Jikite kwenye mada.Wewe naye umezidi, sijui unanufaikaje kwa kumuongelea vibaya Rais wa Tanzania, huchoki?? Kila uzi wako ni kumsema vibaya, hana jema au zuri alilolifanya kwa muda mfupi?? Mpe heshima yake hata kama hajakuzaa.
raisi huwa anapongezwa hakosolewii nani alikwambia baba nyumbani huwa anakoseaaa .......mara nyingi anapitiwa tuuuu
Tutofautishe "Uhuru" na "Haki"Huu upuuzi wa eti akikosolewa fulani ni kosa na hali ikiwa vilevile kwa mwingine eti ni uhuru wa maoni si sawasawa kabisa.
Jana amenukuliwa Shaka msemaji wa CCM akisema wale wote walio mshambulia Ndugai eti wametoa maoni yao binafsi na ni uhuru wao.
Ajabu kupitia huohuo uhuru wa maoni binafsi akikosolewa Rais Samia ni kosa!
Si sawasawa hata kidogo.