Shaka: Acheni siasa za kitoto za kutoa maagizo na mikwara kwa Rais, jikiteni kwenye Maendeleo

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,010
Reaction score
6,766
Katika Mkutano uliofanyika jana huko Zanzibar Ndugu Shaka Hamidu Shaka amesisitiza watanzania kumuunga mkono Mama Samia na Dkt Hussein Mwinyi katika kusukuma maendeleo na kuimarisha uchumi.

Pia alisema:
"Niwasihi wanasiasa nchini wajikite kwenye siasa za maendeleo kwa kutoa fikra na mawazo mbadala yanayoweza kuchangia kuboresha ustawi wa wananchi na kuharakisha maendeleo ya nchi yetu. Waachane na siasa za kitoto za kutoa mikwara ya maigizo kwa Rais Samia

Ndani ya kipindi kifupi Rais Samia na Rais Mwinyi Sauti zao zimetoa mwanga zimewapa matumaini mapya waliokata tamaa na tabasamu kutokana na uongozi bora wanaouonesha unaoheshimu taaluma, kusimamia weledi, utawala wa sheria na kutoa maamuzi ya haki.

Kipindi kifupi cha utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Husein Ali Mwinyi wameakisi mambo yaliyokuwa yakitamaniwa na jamii yatokee na kufuatwa.

CCM inafahamu kuwa vita ya kupigania uhuru imekwisha na Afrika inajitawala kama ambavyo waasisi Hayati Nyerere na Sheikh Karume walivyowahi kutuasa na kutuusia kuwa kutaibuka vita ya kupigania madaraka kutoka kwa wananchi waliokosa uzalendo na mapenzi mema kwa nchi yao"
 
Hata polepole alikuwa na siasa za magazijuto.
 
Huyu dogo hamna kitu. Yaani ukipigania kutaka madaraka eti we siyo mzalendo. Kwani yeye madaraka aliyaokota au aliyapigania! Uzwazwa mwingine bwana
 
Katika Mkutano uliofanyika jana huko Zanzibar Ndugu Shaka Hamidu Shaka amesisitiza watanzania kumuunga mkono Mama Samia na Dkt Hussein Mwinyi katika kusukuma maendeleo na kuimarisha uchumi.

Pia alisema:
"Niwasihi wanasiasa nchini wajikite kwenye siasa za maendeleo kwa kutoa fikra na mawazo mbadala yanayoweza kuchangia kuboresha ustawi wa wananchi na kuharakisha maendeleo ya nchi yetu. Waachane na siasa za kitoto za kutoa mikwara ya maigizo kwa Rais Samia

Ndani ya kipindi kifupi Rais Samia na Rais Mwinyi Sauti zao zimetoa mwanga zimewapa matumaini mapya waliokata tamaa na tabasamu kutokana na uongozi bora wanaouonesha unaoheshimu taaluma, kusimamia weledi, utawala wa sheria na kutoa maamuzi ya haki.

Kipindi kifupi cha utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Husein Ali Mwinyi wameakisi mambo yaliyokuwa yakitamaniwa na jamii yatokee na kufuatwa.

CCM inafahamu kuwa vita ya kupigania uhuru imekwisha na Afrika inajitawala kama ambavyo waasisi Hayati Nyerere na Sheikh Karume walivyowahi kutuasa na kutuusia kuwa kutaibuka vita ya kupigania madaraka kutoka kwa wananchi waliokosa uzalendo na mapenzi mema kwa nchi yao"
Mdude akiwaambia ukweli mnasema katukana. Sasa hii akili isiponyolewa itakaa sawa kweli?
 
Mwendazake alikutumbua leo umeibukia pengiñe. Zungumzia mambo ya Rushwa pia
 
Ndani ya kipindi kifupi Rais Samia na Rais Mwinyi Sauti zao zimetoa mwanga zimewapa matumaini mapya waliokata tamaa na tabasamu kutokana na uongozi bora wanaouonesha unaoheshimu taaluma, kusimamia weledi, utawala wa sheria na kutoa maamuzi ya haki.

NOTE; Mnaanza kukubali utawala uliopita watu walipoteza matumaini?
 
Wala Rushwa ndio waliokosa amani
 
Tatizo kubwa la viongozi wa CCM wanadhani tanzania ni mali yao binafsi na wanasahau kua Tanzania ni mali ya Watanzania wote na wao ni wasimamizi tu.
Lakini kwa matusi ya vijana wa CHADEMA aisee wacha tu wajimilikishe nchi maana unafika wakati unajiuliza nchi hii wakipewa itaenda kweli kwa namna ambayo hawana busara?
 
Back
Top Bottom