Mkuu mbona unaheshima kubwa sana hapa jamvini?Katibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito Sana
Mimi nasubiria bila kuchoka, natamani mhe Rais amalize haraka shughuli anayoifanya pale Dodoma ya kuzindua Mpango wa kupambana Uviko-19 ili aende kwenye tukio tuliloahidiwa na Shaka pamoja na Ditopile
Nitasikitika Sana kama Shaka na mwenzake Ditopile watakuwa waliuhadaa umma kwa jambo lisilokuwepo. Hii itakuwa ni kuibagaza taasisi ya Urais na Rais mwenyewe.
Shaka shakaMkuu mbona unaheshima kubwa sana hapa jamvini?
Tangu lini Shaka akawa na jambo lililotimilika?
Aiseee,nimekumbuka ndoa yake kule Mombasa.Mkuu mbona unaheshima kubwa sana hapa jamvini?
Tangu lini Shaka akawa na jambo lililotimilika?
Wachaaaa,ebu funguka kidogo mkuu ilikuwaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi huyo jamaa sialiwahi kuishi nje ya nchi?Shaka shaka
Gerson Msigwa atafunguka hili kama alivyofunguka la Suphian.Wachaaaa,ebu funguka kidogo mkuu ilikuwaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mbali ni hapo Mombasa tuu.Hivi huyo jamaa sialiwahi kuishi nje ya nchi?
Ununuzi wa Ndege ndani ya Miezi 6Katibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito Sana
Mimi nasubiria bila kuchoka, natamani mhe Rais amalize haraka shughuli anayoifanya pale Dodoma ya kuzindua Mpango wa kupambana Uviko-19 ili aende kwenye tukio tuliloahidiwa na Shaka pamoja na Ditopile
Nitasikitika Sana kama Shaka na mwenzake Ditopile watakuwa waliuhadaa umma kwa jambo lisilokuwepo. Hii itakuwa ni kuibagaza taasisi ya Urais na Rais mwenyewe.
Chato inatangazwa rasmi kuwa MkoaKatibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito Sana
Mimi nasubiria bila kuchoka, natamani mhe Rais amalize haraka shughuli anayoifanya pale Dodoma ya kuzindua Mpango wa kupambana Uviko-19 ili aende kwenye tukio tuliloahidiwa na Shaka pamoja na Ditopile
Nitasikitika Sana kama Shaka na mwenzake Ditopile watakuwa waliuhadaa umma kwa jambo lisilokuwepo. Hii itakuwa ni kuibagaza taasisi ya Urais na Rais mwenyewe.
Huenda leo atajiunga na JF ngoja tusubiri.Katibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito Sana
Mimi nasubiria bila kuchoka, natamani mhe Rais amalize haraka shughuli anayoifanya pale Dodoma ya kuzindua Mpango wa kupambana Uviko-19 ili aende kwenye tukio tuliloahidiwa na Shaka pamoja na Ditopile
Nitasikitika Sana kama Shaka na mwenzake Ditopile watakuwa waliuhadaa umma kwa jambo lisilokuwepo. Hii itakuwa ni kuibagaza taasisi ya Urais na Rais mwenyewe.
Uchumi umekua kutoka 4% hadi 4.3% katika robo ya kwanza - SamiaKatibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito Sana
Mimi nasubiria bila kuchoka, natamani mhe Rais amalize haraka shughuli anayoifanya pale Dodoma ya kuzindua Mpango wa kupambana Uviko-19 ili aende kwenye tukio tuliloahidiwa na Shaka pamoja na Ditopile
Nitasikitika Sana kama Shaka na mwenzake Ditopile watakuwa waliuhadaa umma kwa jambo lisilokuwepo. Hii itakuwa ni kuibagaza taasisi ya Urais na Rais mwenyewe.
hakuna yeyote aliyestuka na porojo zaoLabda kutangaza Zabuni zote za Covid ziwe kwa single source
Hongereni sana maafisa wa PMU wa Halmashauri zote kwa kifanikiwa kwny hili
Hujasikia kwa mh.Rais akitoa hotuba ya mrejesho wa Urais wake kwa miezi 6 iliyopita na atakachofanya kwa miezi 6 ijayo?Katibu mwenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka A. Shaka na siku chache baadaye mwanamama Ditopile waliutangazia umma kuwa Jumapili hii tutege macho na masikio Ikulu, maana Mhe Rais atakuja na jambo zito Sana
Mimi nasubiria bila kuchoka, natamani mhe Rais amalize haraka shughuli anayoifanya pale Dodoma ya kuzindua Mpango wa kupambana Uviko-19 ili aende kwenye tukio tuliloahidiwa na Shaka pamoja na Ditopile
Nitasikitika Sana kama Shaka na mwenzake Ditopile watakuwa waliuhadaa umma kwa jambo lisilokuwepo. Hii itakuwa ni kuibagaza taasisi ya Urais na Rais mwenyewe.
Vipi kuhusiana na democrasia yetu, ubambikaji utakoma, vipi kuhusu utii was Sheria zetu na katiba. Vipi kuhusu uhuru wa habari, ule wa kutoa maoni, mengine yote yanapoteza maana kama hajawa na suluhu ya matatizo hayo yanayowakabili watanzania na taifa.Hujasikia kwa mh.Rais akitoa hotuba ya mrejesho wa Urais wake kwa miezi 6 iliyopita na atakachofanya kwa miezi 6 ijayo?
Una matatizo ulijia jambo zito ni kulipua makombora kama ya Kim?
Miezi 6 ajira rasmi 29,900 ..nani aliajiri kama mama?
Shirika la nyumba litaanza upya kumalizia mradi wa Kawe uliokufa,regency na morroco..
Wastaafu wamelipwa mafao sh.1.45 Tilioni nk
Kubwa.zaidi miezi 6 ijayo hakuna kupeleka madawati shule wala kuchangishana michango pesa ipo,sekta ya Afya ndio kabisaa vituo vya afya 150 vinajengwa na vingine vingi vitaanza baada ya kuzindua mpango wa leo..
Ni hivi kiufupi amefauli pakubwa imagine uwekezaji wa Til 5 miradi zaidi ya 3,000 vitatoa ajira rasmi zaidi ya 42,000 ..Hapo vipi?
Nani kama Samia? Samia hoyeee