Shaka alisema Jumapili ya leo kuna jambo zito Rais Samia atalifanya. Ni jambo gani hilo? Au alitudanganya?

Wastaafu wamelipwa teh teh teh tena NSSF kwa fao la kujitoa
 
Shaka siasa zake kila kichuguu kwake ni kilimanjaro 😂😂
 
Hamna kitu hao.
 
Uchumi umekua kutoka 4% hadi 4.3% katika robo ya kwanza - Samia

Umeupiga mwingi sana , 2025 utapita bila kupingwa - Majaliwa
Waafrika ni watu wa hovyo sana. Uchaguzi uliopita hata mwaka mmoja haujapita. Badala wawaze kutuletea maendeleo wao wanawaza uchaguzi tena.
 
Tumepewa Mkopo Na Mabeberu Ndiyo Jambo Lenyewe
 
Uchumi umekua kutoka 4% hadi 4.3% katika robo ya kwanza - Samia

Umeupiga mwingi sana , 2025 utapita bila kupingwa - Majaliwa
Sijui kwanini hata dada yetu kaingia kwenye mtego wa mwendazake.
 
Hoyeeee👏
 
Tumepewa Mkopo Na Mabeberu Ndiyo Jambo Lenyewe
Ambao utarudi kwa wananchi kwa 100%.

Anza kujipanga na tenda za cement na vifaa vya ujenzi kama una hardware, kama ww ni mkandarasi kamata tenda yako, kama ww ni fundi anza kutafuta connection kwa wakandarasi kama ni mama ntilie anza kutafuta chimbo la kuhudumia vibarua.

Ukipata pesa nenda kalipe wafanyakazi wa ndani, boresha gesti house yako uajiri zaidi, fungua kabiashara uajiri hata watu wawili n.k nchi inaenda kuchangamka.

Kama ww ni mwanasiasa wa upinzani endelea kuponda.
 
Brela Tukasajiri Kampuni, Serikali Imeelekea Kibra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…