Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,017 Reaction score 18,537 Oct 11, 2021 #81 Jumbe Brown said: Mkishindwa hoja mnapenda sana kudhalilisha wengine kwa uongo na uzushi..... Click to expand... Kamuulize Msigwa ...ilithibitishwa ni shoga
Jumbe Brown said: Mkishindwa hoja mnapenda sana kudhalilisha wengine kwa uongo na uzushi..... Click to expand... Kamuulize Msigwa ...ilithibitishwa ni shoga
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Oct 11, 2021 #82 Sexless said: Twaweza walifanya utafiti wakagundua ya kwamba wafuasi wa ccm 90% ni mbumbumbu. Huyu ni miongoni mwa hiyo 90% Click to expand... Warejee utafiti huu inawezekana Sasa no 95%
Sexless said: Twaweza walifanya utafiti wakagundua ya kwamba wafuasi wa ccm 90% ni mbumbumbu. Huyu ni miongoni mwa hiyo 90% Click to expand... Warejee utafiti huu inawezekana Sasa no 95%
Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,139 Reaction score 2,488 Oct 11, 2021 #83 Frank Wanjiru said: Aiseee,nimekumbuka ndoa yake kule Mombasa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Watu wenye mawazo finyu humjadili mtu kwa mambo binafsi badala ya hoja. Mambo ya ndoa yamefikaje hapa. Jadili mada iliyopo mezani mkuu.
Frank Wanjiru said: Aiseee,nimekumbuka ndoa yake kule Mombasa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Watu wenye mawazo finyu humjadili mtu kwa mambo binafsi badala ya hoja. Mambo ya ndoa yamefikaje hapa. Jadili mada iliyopo mezani mkuu.
Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 9,034 Reaction score 6,913 Oct 11, 2021 #84 mliberali said: Porojo hizo, bunge linazhirikishwa?? Click to expand... Rais kutoa mrejesho kunahitaji Bunge kushirikishwa? Acha ujinga,hukumuona Spika?
mliberali said: Porojo hizo, bunge linazhirikishwa?? Click to expand... Rais kutoa mrejesho kunahitaji Bunge kushirikishwa? Acha ujinga,hukumuona Spika?
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Oct 11, 2021 #85 Peter Madukwa said: Watu wenye mawazo finyu humjadili mtu kwa mambo binafsi badala ya hoja. Mambo ya ndoa yamefikaje hapa. Jadili mada iliyopo mezani mkuu. Click to expand... Shaka tangu lini akawa na hoja au hujui kuwa hayo mambo yake binafsi ndio yanamfanya adharaulike? Sent using Jamii Forums mobile app
Peter Madukwa said: Watu wenye mawazo finyu humjadili mtu kwa mambo binafsi badala ya hoja. Mambo ya ndoa yamefikaje hapa. Jadili mada iliyopo mezani mkuu. Click to expand... Shaka tangu lini akawa na hoja au hujui kuwa hayo mambo yake binafsi ndio yanamfanya adharaulike? Sent using Jamii Forums mobile app