Shaka amwagiza waziri wa Kilimo kumfukuza kazi mara moja Geophrey Chiliga mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora

Ina maana shaka anatwambia ccm ya mama samia imejivua gamba kutoka kusimama na matajiri hadi kulia na wanyonge? Ccm oyee
 
Waziri mwenyewe si ni wa huko huko ina maana hajamwona au ni ile tusemayo zimwi likujualo halikuli likakumaliza.
 
Huyu mjomba ni jembe kwelikweli
 
VIVA CCM VIVA, VIVA SAMIA VIVA
 
Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…