Shaka ashuhudia mtanange wa Yanga na Costal Union Kwa Mkapa

Shaka ashuhudia mtanange wa Yanga na Costal Union Kwa Mkapa

Malick Ayoub

Member
Joined
May 25, 2022
Posts
10
Reaction score
4
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameipongeza timu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa soka wa Tanzania msimu huu.

Ameyasema hayo leo usiku katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar Es Saalam mara baada ya mchezo ligi Kuu (NBC) ambapo ameyataja mafanikio hayo kuwa ni matunda ya udhamini mkubwa wa kampuni ya GSM, uongozi imara, benchi na wachezaji bora wa Yanga pamoja na mashabiki kwa mshikamano.

”Ilani ya uchaguzi ya CCM ni tuliahidi kuimarisha michezo, soka ikiwa ni sehemu ya michezo hiyo. Serikali ya CCM Awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kuboresha viwanja vitano kwa mwaka 2022-2023 kwa mikoa ya Mwanza, Arusha, Tanga, Mbeya na Dodoma kuwa vya kisasa ikiwa ni utekelezaji wa ilani. Mafanikio ya Yanga yawe chachu kwa timu nyingine kufanya vizuri zaidi. Rai yetu kama chama ni kwa makampuni ya kibiashara kujitokeza kwa wingi kudhamini ligi yetu pamoja timu mbalimbali ili kuongeza ushindani zaidi wa ligi yetu” amesema Shaka

Hata hivyo ametoa wito kwa Uongozi wa Yanga kujipanga zaidi ili kuleta mafanikio katika michuano ya kimataifa na hivyo kuzidi kulipa heshima taifa letu kama walivyofanya wenzao wa Simba.

Katika mchezo huo timu Yanga imefanikiwa kuifunga Costal Union 3-0.

#HongeraYangaSC
#CCMImara
#KaziIendelee

IMG-20220615-WA0210.jpg
IMG-20220615-WA0212.jpg
IMG-20220615-WA0221.jpg
IMG-20220615-WA0209.jpg
IMG-20220615-WA0208.jpg
 
SHAKA ASHUHUDIA YANGA WAKITWAA UBINGWA KWA MKAPA, ATOA WITO KWAO KWA MASLAHI YA TAIFA.

Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameipongeza timu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa soka wa Tanzania msimu huu.

Ameyasema hayo Jana usiku katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar Es Saalam mara baada ya mchezo ligi Kuu (NBC) ambapo ameyataja mafanikio hayo kuwa ni matunda ya udhamini mkubwa wa kampuni ya GSM, uongozi imara, benchi na wachezaji bora wa Yanga pamoja na mashabiki kwa mshikamano.

”Ilani ya uchaguzi ya CCM ni tuliahidi kuimarisha michezo, soka ikiwa ni sehemu ya michezo hiyo. Serikali ya CCM Awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kuboresha viwanja vitano kwa mwaka 2022-2023 kwa mikoa ya Mwanza, Arusha, Tanga, Mbeya na Dodoma kuwa vya kisasa ikiwa ni utekelezaji wa ilani. Mafanikio ya Yanga yawe chachu kwa timu nyingine kufanya vizuri zaidi. Rai yetu kama chama ni kwa makampuni ya kibiashara kujitokeza kwa wingi kudhamini ligi yetu pamoja timu mbalimbali ili kuongeza ushindani zaidi wa ligi yetu” amesema Shaka

Hata hivyo ametoa wito kwa Uongozi wa Yanga kujipanga zaidi ili kuleta mafanikio katika michuano ya kimataifa na hivyo kuzidi kulipa heshima taifa letu kama walivyofanya wenzao wa Simba.

Katika mchezo huo timu Yanga imefanikiwa kuifunga Costal Union 3-0.

#HongeraYangaSC
#CCMImara
#KaziIendelee
 
Attachments

  • IMG-20220616-WA0002.jpg
    IMG-20220616-WA0002.jpg
    77.7 KB · Views: 6
  • IMG-20220616-WA0001.jpg
    IMG-20220616-WA0001.jpg
    83.6 KB · Views: 7
  • IMG-20220616-WA0007.jpg
    IMG-20220616-WA0007.jpg
    146.2 KB · Views: 6
Hao UN walipinga ujenzi wa bwawa la umeme kwamba ni kuharibu mazingira lakini sasa hivi wanapinga kuwahamisha wamasai ili kulinda mazingira!

Mtu mweusi amka
 
Kwa uandishi huu bila shaka wewe ni malick ayoub [emoji23]
 
Back
Top Bottom