Q Quinine JF-Expert Member Joined Jul 26, 2010 Posts 22,227 Reaction score 49,628 May 23, 2022 #1 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeunga mkono na kuridhia hatua ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan ya kuendeleza majadiliano na vyama vya siasa yenye lengo la kuimarisha demokrasia kupitia maridhiano ya kisiasa kwa maslahi ya taifa. =================== Chawa wamenuna.
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeunga mkono na kuridhia hatua ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan ya kuendeleza majadiliano na vyama vya siasa yenye lengo la kuimarisha demokrasia kupitia maridhiano ya kisiasa kwa maslahi ya taifa. =================== Chawa wamenuna.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 May 23, 2022 #2 Ccm hii yasasahivi angalau ina viongozi wenye akili kuliko ile ccm ya wapenda fujo wauwaji.