Shaka Hamdu Shaka: Katiba Mpya sio Agenda mpya kwa CCM, Wenye Agenda ya katiba mpya ni CCM

Leo ndio nimeamini kuwa CCM ndio adui namba moja wa taifa hili.

Yan ujinga, maradhi na umaskini tunavionea tu
 
Siasa za nchi hii zimezidi usanii, laah !!
 
N
Wamefika pointi inabidi wakubali.

Leo yuko samia akirudi mwingine zaidi ya Jpm atawanyosha tena hao hao ccm.

Mabadiliko ni sasa.
Na huo ndio ukweli !! Na lazima kama JPM atakuja kutokea tu !! Rohoni kwa MTU ni mbali hawataweza kumjua mpaka atakapokuwa ameshakalia kiti !! Mungu ana shani zake alitakalo ni lazima litakuwa !!
 
unawaza angle moja tu ya Urais ndio shida yako
 
N

Na huo ndio ukweli !! Na lazima kama JPM atakuja kutokea tu !! Rohoni kwa MTU ni mbali hawataweza kumjua mpaka atakapokuwa ameshakalia kiti !! Mungu ana shani zake alitakalo ni lazima litakuwa !!
Kabisa hii ni fursa pekee ya reform. Anaweza kutokea zaidi ya Jpm
 
Back
Top Bottom