Shaka Hamdu Shaka: Katiba Mpya sio Agenda mpya kwa CCM, Wenye Agenda ya katiba mpya ni CCM

Mbona Sasa mliwafunga watu na kuwabambikia kesi za Ugaidi wakidai KATIBA mpya?
Msitufanye sisi hamnazo mataga kubalini tuu mziki wa Chadema wa KATIBA mpya ulimfanya mpka Rais wenu kupitia mlango wa nyuma huko Marekani na asiye kubali kushindwa sio mshindani babuu
Lazima wafungwe, kwanini wanadai katiba mpya kwani ni ajenda Yao? Huo ni ugaidi.
 
Katibu wa halmashauri kuu ya Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema, " Agenda ya katiba mpya sio ngeni ndani ya CCM, na wakati wote ni CCM ndio imeratibu maswala yote, "

Aidha kiongozi huyo wa juu kabisa wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania amewataka Watanzania kufahamu kuwa CCM ni chama kiongozi kwenye mambo yote likiwamo hili la katiba Mpya,

Msikilize kwa makini kiongozi huyu tegemewa kwa Taifa mpaka Mwisho,

CCM ni kiongozi katiba mpya katika kuikataa. Ikumbukwe ni CCM iliovuruga bunge la katiba kwa kumtuma kikwete kwenye ufunguzi na kutoa maelekezo ya kuikataa, matokeo muda mwingi ukatumika kutunga kanuni za bunge, na uliobaki kubadiri vifungu vya katiba hiyo. Kamwe CCM haitakubali kwa dhati uwepo wa time huru ya uchaguzi inayopendekezwa kwenye katiba. Na huyo ndie anae shauri mkakati wa katiba kuanza mwanzo, a delaying tactic.
 
Katiba waliikataa UKAWA, labda huna kumbukumbu sahihi
 
Katibu wa halmashauri kuu ya Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema, " Agenda ya katiba mpya sio ngeni ndani ya CCM, na wakati wote ni CCM ndio imeratibu maswala yote, "

Aidha kiongozi huyo wa juu kabisa wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania amewataka Watanzania kufahamu kuwa CCM ni chama kiongozi kwenye mambo yote likiwamo hili la katiba Mpya,

Msikilize kwa makini kiongozi huyu tegemewa kwa Taifa mpaka Mwisho,

Mpuuzi kama walivyo CCM wengine
 
Waammbieni CCM wasitufanye ufala, Tuna kila ushahidi wa wao kutupinga na kutufunga na kutuumiza...halafu sasa hivi wanakuja wamebana pua huku wamepaka mkorogo wanatuambia ujinga gani?
CCM ni hatari sn imejaa matapeli tupu
 
Katibu wa halmashauri kuu ya Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema, " Agenda ya katiba mpya sio ngeni ndani ya CCM, na wakati wote ni CCM ndio imeratibu maswala yote, "

Aidha kiongozi huyo wa juu kabisa wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania amewataka Watanzania kufahamu kuwa CCM ni chama kiongozi kwenye mambo yote likiwamo hili la katiba Mpya,

Msikilize kwa makini kiongozi huyu tegemewa kwa Taifa mpaka Mwisho,

Huyu kijana anatakiwa kufahamu kwamba katiba ni ya watanzania na ni ajenda ya watanzania na sio CCM hakuna habari ya upya au uchakavu wa ajenda.
 
Back
Top Bottom