Shaka Hamdu Shaka: Katiba Mpya sio Agenda mpya kwa CCM, Wenye Agenda ya katiba mpya ni CCM

Lazima wafungwe, kwanini wanadai katiba mpya kwani ni ajenda Yao? Huo ni ugaidi.
 
CCM ni kiongozi katiba mpya katika kuikataa. Ikumbukwe ni CCM iliovuruga bunge la katiba kwa kumtuma kikwete kwenye ufunguzi na kutoa maelekezo ya kuikataa, matokeo muda mwingi ukatumika kutunga kanuni za bunge, na uliobaki kubadiri vifungu vya katiba hiyo. Kamwe CCM haitakubali kwa dhati uwepo wa time huru ya uchaguzi inayopendekezwa kwenye katiba. Na huyo ndie anae shauri mkakati wa katiba kuanza mwanzo, a delaying tactic.
 
Katiba waliikataa UKAWA, labda huna kumbukumbu sahihi
 
Mpuuzi kama walivyo CCM wengine
 
Waammbieni CCM wasitufanye ufala, Tuna kila ushahidi wa wao kutupinga na kutufunga na kutuumiza...halafu sasa hivi wanakuja wamebana pua huku wamepaka mkorogo wanatuambia ujinga gani?
CCM ni hatari sn imejaa matapeli tupu
 
Huyu kijana anatakiwa kufahamu kwamba katiba ni ya watanzania na ni ajenda ya watanzania na sio CCM hakuna habari ya upya au uchakavu wa ajenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…