B BWANKU M BWANKU JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 377 Reaction score 435 Mar 12, 2022 #1 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImara #KaziIendelee
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImara #KaziIendelee
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 3,629 Reaction score 4,831 Mar 12, 2022 #2 Nasubiri ataongelea Nini?.Aundio maandalizi ya kutimiza mwaka mmoja wa SSH.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Mar 12, 2022 #3 Fund man said: Nasubiri ataongelea Nini?.Aundio maandalizi ya kutimiza mwaka mmoja wa SSH. Click to expand... Kamati kuu imekaa jana nadhani ndio anataka kutoa mrejesho
Fund man said: Nasubiri ataongelea Nini?.Aundio maandalizi ya kutimiza mwaka mmoja wa SSH. Click to expand... Kamati kuu imekaa jana nadhani ndio anataka kutoa mrejesho
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 12, 2022 #4 Ngoja tuone...