Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

Kama kuna mtu alimrekodi atupie humu tumsikilizishe, yawezekana zile gwanda za kijani zilimwaminisha kuwa nchi yote ilikuwa kijani, na mazao yalisitawi sawia
 
Mchele wa kawaida tu kweri 2500
Ila huku kwetu hiyo ni bei ya chenga za kupikia vitumbua. Wala asali hawajui bei za vyakula. Wao kila uchao wanapelekewa majumbani mwao. "Kama hawawezi kula mikate si wale keki tu" alisikika Malkia mmoja huko ughaibuni akiwaambia wakulima maskini walioshindwa kununua mikate basi wale keki.
 
Naskia kuna kitu kinaitwa chawa wa mama (tena nimedokezwa kwamba hiki kitu kimesajiliwa rasmi huko nchini Malawi).
Kuna watu wanatia hasira sana nchi hii, yaani wao kazi yao ni kutoa matamko ya kumfurahisha kiongozi, wakati huo wananchi tunaumizwa na matamko yao.
Hii nchi sasahivi familia inayopika wali na maharage, inaonekana wanafanya hanasa..Gad'em it..😠
 
Mim mwenyewe juzi nmenunua mchele kg kumi kwa elf 3500 kila kg
 
Nchi nzima ni wapi huko?
 
Amekwangua uso kwa mkorogo mpaka akili zimepotea
 
Waliona hizo bei waziweke hapa
 
Bado yupo mjini,Mimi nilijua ameshaenda Mombasa kupumzika!
 
Kwani ukiuzwa 3500 Kuna shida gani? Anaetaka bei ya chini ya hapo akalime..
Kiufupi Huwa nalima chakula changu, siwezi Fanya kazi ya kulimia watu wa mjini Ili wanipangie bei,wakulima ni wajinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…