Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

Daima niitakula viazi,nyanya,chungu,carrot,hohi,onion zote,tangawizi,ugali protein ,maziwa,
 
Hasara kwa wazazi wake kuzaa mapooza mbele ya jamii.
Useless,labda ameangalia kwenye masoko ya huko kwao Mchambawima lakini huku Chuga mchele mzuri ni almost 4,000 kwa kilo.
 
Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa.
1. Ameonge kama nani?
2. Kuna tofauti ya kwenda sokoni kutembea na kufanya manunuzi,
 
Viongozi wawe wanatujari wananchi japo mara Moja . Kila kitu kishapanda Bei mbona na viongozi wao wanalijua hili!
 
Hu
Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa.
Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo.
Amesema Kama Kuna mfanyabiashara hajui wapi pa kupata mchele wa bei nzuri basi apige simu yake binafsi apewe taarifa.
Pia amewataka wanasiasa wa upinzani wafanye siasa za kikubwa utoto ubaki Bavicha.
Alikuwa hewani UHURU digital muda si mrefu.
Huyo shaka ni mpumbavu aliyevimbiwa. Mwambie saiz michele ni 3600
 
Itakuwa alienda kwa wafanyabiashara ambao ni CCM na kwa kumuona ni boss wao wakapunguza bei maana ni kawaida hata kama sehemu ilikuwa na barabara mbovu, umeme unakatika au maji hayatoki ikisikika kiongozi mkubwa anakuja basi kila kitu kitawekwa vizuri kuhadaa akiondoka taabu inabaki palepale

Ila kwa maneno si ajabu ndiyo maana katolewa uenezi
 
Chawa anaropoka na kutapika uozo wake.
Ashtakiwe kwa ulaghai na uongo .
 
Back
Top Bottom