Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
ccm ni janga ndani yake yenyewe. iache kutafuta mchawi njeHuyu aende Mwembemchomeke akapumzike tu maana kanyang'anywa uenezi. Sasa anaongea kama nani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm ni janga ndani yake yenyewe. iache kutafuta mchawi njeHuyu aende Mwembemchomeke akapumzike tu maana kanyang'anywa uenezi. Sasa anaongea kama nani!
Hivi hakuna namna yw kusema ukwel penye uhalisia mpaka tu uongope ili usifu?Kiongozi mkubwa wa CCM amewataka wananchi wapuuze uzushi unaonea mitandaoni kuwa mchele umefikia 3500 kwa kilo sababu yeye mwenyewe ametembelea masoko yote makubwa nchini na hajakutana na bei hiyo tajwa.
Ameenda mbali zaidi na kudai Kuna kona kadhaa za nchi mchele upo hadi sh 1000 kwa kilo.
Amesema Kama Kuna mfanyabiashara hajui wapi pa kupata mchele wa bei nzuri basi apige simu yake binafsi apewe taarifa.
Pia amewataka wanasiasa wa upinzani wafanye siasa za kikubwa utoto ubaki Bavicha.
Alikuwa hewani UHURU digital muda si mrefu.