Shaka Hamdu Shaka: Nimezunguka nchi nzima, hakuna sehemu wanauza mchele Tshs. 3,500 kwa kilo

Kama Shaka anasema ukweli, basi watoto wangu jana wamenipiga. Waliniambia wamenunua mchele kg. 3,000/=katika soko mojawapo Jijini Mwanza! Ebu Shaka niambie ukweli mwaya walinunua shilingi ngapi niwadai chenji!!?
 
Hapa ndipo naonga watu wengi wanawaona watanzania ni wajinga tu. Ukitaka kujua Shaka ni Zezeta ataje sehemu moja tu ambalo Michele Ni 1000. Ndiyo ujue huyu jamaa Ni kubwa jinga
 
Kama Shaka anasema ukweli, basi watoto wangu jana wamenipiga. Waliniambia wamenunua mchele kg. 3,000/=katika soko mojawapo Jijini Mwanza! Ebu Shaka niambie ukweli mwaya walinunua shilingi ngapi niwadai chenji!!?
Nakuomba usije ukapiga watoto ,shaka mwenyewe ni baby
 
Huyo mke wa mtu tunampuuza tu
 
Huyu ndugu ametumia muda Gani "KUZUNGUKA" Nchi nzima.

Kwani kama huna JIBU juu ya HOJA Fulani ukinyamaa itakugharimu nn?
 
No wonder "she" was replaced
 
Huwa nashangaa sana ninapoona watu kama kina Mama D wananasimamisha mishipa ya shingo kushabikia CCM sasa huku si kama mnafanywa mafala ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238][emoji238]

MAMBUZI ni MAMBUZI TU HATA IWEJE
 
huyo mjinga ni wa kuachana naye sababu akili zake bado hazimtoshi.bei ya mchele kote iko juu.aende pale kagera soko la rwamishenyi halafu aje na hizo hoja za kipumbavu.huu ni mfano mdogo tu na akitaka tutamtajia bei ya mchele ktk masoko mengi hapa nchini.aliyeshiba hamjui mwenye njaa na siasa zinawapeleka pabaya na huo ndo uchawa wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…