Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wakati wa kampeni๐๐
Baada ya kuingia Ikulu๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mchonganishi tu
Mchonganishi ni Rais ambae wakati wa kampeni anasema kuwa kufunga umeme ni TZS 27,000/= halafu akishaingia Ikulu anabadilika na kudai kuwa gharama ya kufunga umeme ni TZS 500,000/=๐๐๐Wewe ni mchonganishi tu
Bei za bidhaa duniani hazijawahi kuwa static BehaviouristMchonganishi ni Rais ambae wakati wa kampeni anasema kuwa kufunga umeme ni TZS 27,000/= halafu akishaingia Ikulu anabadilika na kudai kuwa gharama ya kufunga umeme ni TZS 500,000/=๐๐๐
Umenikumbusha ya awamu ya nne masuala ya safari na mikopo Hadi jamaa akasema anatembea huko Ili wajue kuwa nchi Ina Rais mwingine baadaye akasema hakuna nchi inayoendelea bila kukopaChawa kindakindaki wa Rais Samia,, njaa mbaya sana
Hawa hawakawii kugeuza maneno awamu nyinginezo!
Utaskia, awamu ya sita , serikali ilikuwa inakopa sana na kuwakandamiza wananchi Tozo zilizo nje ya uwezo wao, for sure,, time will tell
Politics is never staticUmenikumbusha ya awamu ya nne masuala ya safari na mikopo Hadi jamaa akasema anatembea huko Ili wajue kuwa nchi Ina Rais mwingine baadaye akasema hakuna nchi inayoendelea bila kukopa
Kwa hiyo vitu vikipanda bei mfano Sukari kilo ikawa TZS 10,000/=,nyama kilo moja ikawa TZS 30,000/=,unga wa kula kilo moja ukawa TZS 10,000=, nauli ya daladala ikawa TZS 5000/= na kadhalika kisha Rais akaibuka na kusema kuwa bei za bidhaa duniani hazijawahi kuwa static ndugu wananchi.Ungemuelewa Rais na kuikubali kauli yake hiyo?Bei za bidhaa duniani hazijawahi kuwa static Behaviourist