Shaka Hamdu Shaka: Tunahakiki deni la Bilioni 1 wanalodaiwa Uhuru Media kama lina ukweli wowote

Mswalipe wakome mabwege hao wanachapisha vipeperushi vya kishenzi vinabandikwa mpaka chohoni.
 
Dawa ya deni ni kulipa!
Ccm haina shida, wafanyabiashara waliofukuzwa na Magufuli wamerudi kufadhiri chama !! Kama wakina Rostam wameweza kufadhiri Royal Tour ya matrimoni hawawezi kushindwa kuwalipa billioni moja!!
 
Ccm haina shida, wafanyabiashara waliofukuzwa na Magufuli wamerudi kufadhiri chama !! Kama wakina Rostam wameweza kufadhiri Royal Tour ya matrimoni hawawezi kushindwa kuwalipa billioni moja!!
Ngoja Chama kipate ripoti kwanza, Huenda ni malaghai tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…