SHAKA: MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA ILANI NI MTAJI UNAOIUZA CCM
"Kazi kubwa inayofanywa na serikali ya CCM awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mtaji mkubwa unaokiuza Chama hicho" Shaka Mwenezi Taifa
"Tarehe 21 Januari, 1977 wakati TANU na ASP zinaungana kuunda Chama Cha Mapinduzi (CCM) wajumbe wake kwa umoja wao waliweka maazimio mengi moja wapo ikiwa ni " ShakaMwenezi CCMTaifa
"Chama tunachokiunda tunataka kishike barabara hatamu za uongozi wa shughuli zote za umma kwa maslahi ya Wafanyakazi na Wakulima wa Taifa letu; Chama tunachokiunda tunataka kiwe kiungo kati ya Wanamapinduzi wa Tanzania na Wanamapinduzi wenzetu kokote waliko." Shaka Mwenezi CCM Taifa
" Ukitafakari azimio hili utabaini kwamba bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba, kiongozi bora hawezi kutoka nje ya CCM pamoja na maelekezo ya ibara ya 5(1) ya katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2022 yanayotaka CCM kushinda chaguzi na kuunda dola kwa lengo la kuharakisha maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla" Shaka Mwenezi CCM Taifa
"Ili hayo yote yatimie ni lazima mambo mawili muhimu yafanyike mosi, kila mwana-CCM atimize wajibu wake katika uimarishaji wa chama na jumuiya zake na pili, uwajibikaji na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025 ufanyike nkwa weledi ili kuchochea maendeleo, ustawi wa jamii na kuondosha umaskini" Shaka Mwenezi CCM Taifa
"Katika hili tumpongeze sana Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ambayo mafanikio yake ni mtaji mkubwa kwa Chama chetu kwa umma kwani unaendelea kuimarisha imani yao kwa CCM na serikali
yao." Shaka Mwenezi CCM Taifa
"Niwapongeze wanachama na viongozi wote ambao wanatimiza wajibu wao kwa uadilifu na weledi ili kuhakikisha CCM inaendelea kuwa imara na yenye hamasa zaidi kwa umma" Shaka Mwenezi CCM Taifa.