Shaka: Rais Samia ameua ndoto za wasaka Urais wote kwa kazi nzuri na kubwa anazozifanya kwa ubunifu na uhodari wake

Shaka: Rais Samia ameua ndoto za wasaka Urais wote kwa kazi nzuri na kubwa anazozifanya kwa ubunifu na uhodari wake

Kama amefanya hayo wanayo yasema mbona wanatumia nguvu kubwa kumkingia kifua na kumpigia kampeni kabla hata ya uchaguzi kufika? Waache matendo yake yajieleze kwa uma
 
Ashindanishwe basi na wenzie kina lukuvi, kabudi, majaliwa, dr bashiru, ummy mwalimu tuone. Asibebwe kwa maneno ya utamu wa asali.

Maana walamba asali kwa sasa ni mwendo wa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa malkia wa nyuki ili aendelee kuwamwagilia na asali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kumtetea huyu bibi inahitaji ujitoe ufahamu haswa.
Kisha ukishautoa huo ufahamu uupake kinyesi. Hapo utaweza.
 
Hasa kuwa Chawa halafu Huna hela ata ya Msosi kama vijana wa Ufipa
IMG-20221124-WA0021.jpg
 
Lazima akazane kusifia ndiyo kazi aliyajiriwa...
 
Izo combat nyuma ya bashe ni za kongo? Na wale wa mzena pale getini zile combat zao ni askari wa wapii
 
Unajitoaje Ufahamu.

Rais anatoe elimu bure kindagateni Mpaka kidato cha 06.

Rais anayetoa RUZUKU ya mbolea kwa zaidi ya 150bln

Rais anayefungulia Wapinzani wote toka magerezani akiwe Mbowe.

Rais anayekusanya zaidi TZS 2T za Kodi kwa Mwezi.

Rais anayeongeza mishahara na Madaraja kwa watumishi wote.

Rais anayetoa BIMA kwa kila Mtanzania,.

Yaaani unasema ni kazi kumtetea huyu mtu?
Rais ambaye umeme unawaka mpaka vijijini hsukatiki.Maji tele kila mahali Dsm
 
Back
Top Bottom