Shaka: Rais Samia ameua ndoto za wasaka Urais wote kwa kazi nzuri na kubwa anazozifanya kwa ubunifu na uhodari wake

Kama amefanya hayo wanayo yasema mbona wanatumia nguvu kubwa kumkingia kifua na kumpigia kampeni kabla hata ya uchaguzi kufika? Waache matendo yake yajieleze kwa uma
 
Ashindanishwe basi na wenzie kina lukuvi, kabudi, majaliwa, dr bashiru, ummy mwalimu tuone. Asibebwe kwa maneno ya utamu wa asali.

Maana walamba asali kwa sasa ni mwendo wa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa malkia wa nyuki ili aendelee kuwamwagilia na asali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kumtetea huyu bibi inahitaji ujitoe ufahamu haswa.
Kisha ukishautoa huo ufahamu uupake kinyesi. Hapo utaweza.
 
Lazima akazane kusifia ndiyo kazi aliyajiriwa...
 
Magufuli hakukosea kumtaja hadharani, akili yake ndio hiyo
 
Izo combat nyuma ya bashe ni za kongo? Na wale wa mzena pale getini zile combat zao ni askari wa wapii
 
Rais ambaye umeme unawaka mpaka vijijini hsukatiki.Maji tele kila mahali Dsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…