Shaka: Rais Samia ameua ndoto za wasaka Urais wote kwa kazi nzuri na kubwa anazozifanya kwa ubunifu na uhodari wake

Shaka kazi nzuri Sana
 
Kama amefanya hayo wanayo yasema mbona wanatumia nguvu kubwa kumkingia kifua na kumpigia kampeni kabla hata ya uchaguzi kufika? Waache matendo yake yajieleze kwa uma
Nguvu kubwa ipi?
 
Huyu pusti amekomaa na hiyo point ya urais wa hadi 2030 smells like kuna mgogoro juu ya hilo swal huko CCM.
 
Huyu muenezi vipi? Badala ya kupambana kupunguza damage inayofanywa kwa kukatwa umeme usiku kipindi hiki cha world cup anahangaika na mambo yanayo jisemea yenyewe.
 
Kuwa chawa inatakiwa uwe huna akili nzuri kumbe!
Huyo sio chawa anatekeleza majukumu yake kama mwenezi, Moja ya sharti la kazi yake ni Hilo, so halishangazi Sana,
Ila Kwa wengine kujifanya kutekeleza majukumu ya mwenezi ni uchawa, Kwa sababu Nia yao ni kupata maslahi Yao
 
Huyu muenezi vipi? Badala ya kupambana kupunguza damage inayofanywa kwa kukatwa umeme usiku kipindi hiki cha world cup anahangaika na mambo yanayo jisemea yenyewe.
Kazi ya Waziri wa Nishati itakuwa ni nini?
 
Siasa Ni kipaji kwa kweli. Yaani mtu unakuwa Kama robotic. Yaani ubongo wako unampatia mtu. So hapa hawezi kukosoa hata siku moja kila Jambo yeye Ni zuri ndio ujira wake
 
Siasa Ni kipaji kwa kweli. Yaani mtu unakuwa Kama robotic. Yaani ubongo wako unampatia mtu. So hapa hawezi kukosoa hata siku moja kila Jambo yeye Ni zuri ndio ujira wake
Unataka ukusoe wazo lako mwenyewe, Shaka ni mshauri wa Rais Samia anamkosoje tena badala ya kumshauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…