SHAKA: Tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi CCM

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Chama cha Mapinduzi chini uongozi wa Rais Samia kitaendelea kusimamia demokrasia ya kweli na kwa vitendo, tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi katika jimbo la Ushetu Kahama, Konde Pemba na kata 3 tunazofanya uchaguzi wa marudio 10 Oktoba 2021.

Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa itikadi na Uenezi
Kahama Tathimini ya uchaguzi
7 Oktoba 2021

 
SI kweli ingekuwa hivyo Leo tungekuwa na katiba mpya, pamoja na tume huru ya uchaguzi, ikiwa ni pamoja na siasa za kistaarabu za ushindani wa hoja na sii Ile ya kutumia vyombo vya usalama.
 
Maigizo tupu
 
Kwa hiyo kumbe huwa wakati mwingine wanakataa kupokea matokeo yoyote. Sasa anashindana na UPDP napo anajisifu
 
Mungu ibariki CCM,

MUNGU MBARIKI RAIS SAMIA
 
 
Hamasa ya wapiga kura imeshuka sana. Itafika wakati itakua ngumu kufanya mazingaombwe kwa sababu hakuna watu vituoni.

Hii inatokana na kutokuwepo kwa mahusiano kati ya zoezi la kupiga kura na kutangazwa mshindi.
 
Huyu jamaa anafanya watanzania ni watoto!! Kauli kama hizi ndizo huzidisha chuki dhidi ya chama chake.

Watu hadi leo wanasota magerezani kesi za 2020 za uchaguzi..wana familia hao je familia zao zina hali gani?
 

 
Yuko sahihi mana hata matokeo ya bao la mkono wao wapo tayari kuyapokea na hasa kama yanaegemea upande wao.
 

mkitaka kuwa tayari
•tume huru ya uchaguzi
•muache kutumia vyombo vya dora na pandiki lumumba
•kuruhusu demokrasia
•kubalini kuwa mmeshindwa tokea uhuru na kile kibiriti cha kusindikizwa na majeshi aka mwenge
 
Ila huyo mashaka mimi huwa naona hana mvuto wowotw kisiasa. Anyway ni mawazo yangu tu lakini
 
Ccm kutoka madarakani hadi DAMU imwagike tofauti na hapo ni ndogo ya mchana😂😂😂😂😂
 
Watanzania wajinga Wanapungua, pamoja na nguvu kubwa wanayotumia CCM, wananchi Ushetu wanahoji Maswali mengi Magumu yakiwemo yasiyo na majibu vifo vya wapendwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…