Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kauli ya Shaka kutengua amri ya mkuu wa mkoa inaonesha umuhimu wa ulazima wa katiba mpya, serikali za nchi zenye mfumo wa vyama vingi serikali ndiyo huongoza nchi na wananchi tunatakiwa tuisikilize serikali na si vinginevyo. Bahati mbaya hivi sasa CCM imejipa jeuri ya kuidhsrsu serikali na kutuaminisha sisi kuwa CCM ndiyo yenye amri zote nchini! Kitendo cha CCM kinaondoa uhalali wa serikali kuwepo jambo ambalo halina afya kwa taifa.
Shaka anatuonesha nchi inaendeshwa holela, yaani mwanaccm anayejiona ana nguvu ya sauti hata akina Masudi Kipanya basi anajitokeza hadharani na kukemea.Huku Ccm(Chama cha majambazi) Huku tena serikali. Hii inachanganya. Shaka Anatia Mashaka
CHAMA NDIO BABA WA SERIKALI,Shaka anatuonesha nchi inaendeshwa holela, yaani mwanaccm anayejiona ana nguvu ya sauti hata akina Masudi Kipanya basi anajitokeza hadharani na kukemea.
NOPE. CHAMA NI MUWEKAZAJI TU KWA MUDA FULANI ILA SERIKALI NI ILE ILE.CHAMA NDIO BABA WA SERIKALI,
Hii nchi ni ya vyama vingi, sasa unaposema chama ndio Baba wa Serikali ni chama kipi!CHAMA NDIO BABA WA SERIKALI,
Isikilize CCM. CCM ndio walipita mitaani kuomba kura na mkawapa kura, ccm ikaunda serikali
Wapumbavu kama nyie ndio mnaofanya taifa hili lisiendeleeIsikilize CCM. CCM ndio walipita mitaani kuomba kura na mkawapa kura, ccm ikaunda serikali
Shaka anatuonesha nchi inaendeshwa holela, yaani mwanaccm anayejiona ana nguvu ya sauti hata akina Masudi Kipanya basi anajitokeza hadharani na kukemea.
Walipita kuomba kura? Unaelewa sanduku la kura halikuheshimiwa? Unajua TISS na Polisi ndo walikuwa sanduku lililoamua kura?Isikilize CCM. CCM ndio walipita mitaani kuomba kura na mkawapa kura, ccm ikaunda serikali
Milikuwa wapi polisi na Tiss wakaamuaWalipita kuomba kura? Unaelewa sanduku la kura halikuheshimiwa? Unajua TISS na Polisi ndo walikuwa sanduku lililoamua kura?
Detective...iNOPE. CHAMA NI MUWEKAZAJI TU KWA MUDA FULANI ILA SERIKALI NI ILE ILE.
Baba wa serikali ni wananchi walioiweka madarakaniCHAMA NDIO BABA WA SERIKALI,
Maccm hayakupewa kura bali yalipora uchaguzi kupitia polisiccm na Tume FEKI ya uchaguzi.