Isikilize CCM. CCM ndio walipita mitaani kuomba kura na mkawapa kura, ccm ikaunda serikali
Stup.id!! Ni kweli huwezi kuona hata mantiki ya unachosema?? Kuna sehemu yoyote mwananchi alisema baada ya kupiga kura aongozwe na chama hata baada ya serikali kuundwa? Yaani mwenyekiti wa chama wa wilaya awe juu ya Mkuu wa wilaya??