Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemaji mkuu wa Chama ni katibu mkuu, si mwenyekiti. Maana katibu mkuu ndiyo mtendaji na Mratibu mkuu wa shughuli za chama.CCM ndicho chama kilichounda serikali hivyo viongozi wa chama wanasimamia uwendshaji wa serikali. Hata hivyo Mwenyekiti ndiye msemaji mkuu wa chama. Angesema kwa niaba ya Mwenyekiti angeeleweka.
Kumiliki ni jambo moja na kutekeleza ni jambo jingine.
Unasemaje kuhusu sisi wa Mwanza?Watu wa Moro mnamjua vizuri na file lake mnalo
Watu wanapigakura kuchagua chama na sio serikaliKumiliki ni jambo moja na kutekeleza ni jambo jingine.
Binge linatunga sheria,kwahiyo isimamie mahakama kwenye kuitekeleza?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Watu hawajui haya ni maigizo tu kama ya Joti. Unaangalia unayaacha.Hizo misheni town tu mkuu usiumize akili. Wanakula keki pamoja wakishiba ndio wanaplan nenda kawashtue baadae nakuja kuwatuliza.
Shaka cheo chake ni KATIBU WA NEC, ITIKADI NA UENEZI,Msemaji mkuu wa Chama ni katibu mkuu, si mwenyekiti. Maana katibu mkuu ndiyo mtendaji na Mratibu mkuu wa shughuli za chama.
Kama unachosema unaushahidi sawa ila kama huna futa kauli yakoShaka huwa ni kocho kocho hivi tumpuuze ana kihere mno....mla rushwa alipigwa live za uso pale Moro
Kuna mijitu sijui shule ilikimbia ama kujaza mi post humu kwani ni chama gani ndo kimeshikilia serikali ama mmetumwa kuja kumchafu kijana.CCM ndo kiko madarakani huyo mkuu wa mkoa akiharibu halalamikiwi yy ni chama kilichomuamini na kumuweka hapo.Muwe pia mnasikiliza vizuri kijana kasema wakae washilikiane na kamati mbali mbali walijadili swala hili kwa mapana sio mtu anakaa anatoa maagizo bila kujua madhara yatakayo patikana kwenye maslahi ya taifa na chama.
Chama kinamsemaji mkuu + mtendaji MkuuCCM ndicho chama kilichounda serikali hivyo viongozi wa chama wanasimamia uwendshaji wa serikali. Hata hivyo Mwenyekiti ndiye msemaji mkuu wa chama. Angesema kwa niaba ya Mwenyekiti angeeleweka.
DuuhWewe ndio ulikataa ''KUSHILIKIANA" na waalimu shuleni
Wewe mjinga tu wala huelewi namna ya utawala unavyotakiwa kuendeshwa. Ama chama kimeweka viongozi wa ovyo serikali kila wasaa inabidi waingiliwe uamuzi zao na chama. Sasa hiyo si vurugu tu? Sasa kama viongozi wa chama wanajiona wajuzi zaidi kuendesha moja kwa moja serikali basi wangepangana sahihi. Hawa kina shaka wawe wakuu wa mikoa na makala arudi ukatibu mwenezi.Kuna mijitu sijui shule ilikimbia ama kujaza mi post humu kwani ni chama gani ndo kimeshikilia serikali ama mmetumwa kuja kumchafu kijana.CCM ndo kiko madarakani huyo mkuu wa mkoa akiharibu halalamikiwi yy ni chama kilichomuamini na kumuweka hapo.Muwe pia mnasikiliza vizuri kijana kasema wakae washilikiane na kamati mbali mbali walijadili swala hili kwa mapana sio mtu anakaa anatoa maagizo bila kujua madhara yatakayo patikana kwenye maslahi ya taifa na chama.
Kwa hiyo ww na akili ya kuvukia barabara unaona chama kiache tu mambo yaharibike wakati wao ndo wanahangaika kutafuta kura kwa wananchi.Pia nenda kamsikilize vizuri alivyo sema.Mm sio ccm ila kwa hili kijana yuko sawa huwezi ona watu wanakurupuka kutoa maagizo tu huku chama kiko kimya.Wewe mjinga tu wala huelewi namna ya utawala unavyotakiwa kuendeshwa. Ama chama kimeweka viongozi wa ovyo serikali kila wasaa inabidi waingiliwe uamuzi zao na chama. Sasa hiyo si vurugu tu. Sasa kama viongozi wa chama wanajiona wajuzi zaidi kuendesha moja kwa moja serikali basi wangepangana sahihi. Hawa kina shaka wawe wakuu wa mikoa na makala arudi ukatibu mwenezi.