Isikilize CCM. CCM ndio walipita mitaani kuomba kura na mkawapa kura, ccm ikaunda serikali
Jina linajieleza ni nani, kiongozi timamu anayejielewa hawezi kumdharau mkuu wa mkoa ambaye ni mteule wa Rais hadharani.Shaka ndo nani wakuu
Waliwatukana MABEBERUKauli ya Shaka kutengua amri ya mkuu wa mkoa inaonesha umuhimu wa ulazima wa katiba mpya, serikali za nchi zenye mfumo wa vyama vingi serikali ndiyo huongoza nchi na wananchi tunatakiwa tuisikilize serikali na si vinginevyo.
Bahati mbaya hivi sasa CCM imejipa jeuri ya kuidhsrsu serikali na kutuaminisha sisi kuwa CCM ndiyo yenye amri zote nchini!
Kitendo cha CCM kinaondoa uhalali wa serikali kuwepo jambo ambalo halina afya kwa taifa.
Pia soma:
Thread 'Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar' Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar
😀😀😀Ni mkanyagano tu
Nalog off
Leo wako huko ubeberuni wanajifunza jinsi ya kupata kura za wamachinga!Waliwatukana MABEBERU

Huyu dogo achukue likizo aende Mombasa akapunguzwe stressKauli ya Shaka kutengua amri ya mkuu wa mkoa inaonesha umuhimu wa ulazima wa katiba mpya, serikali za nchi zenye mfumo wa vyama vingi serikali ndiyo huongoza nchi na wananchi tunatakiwa tuisikilize serikali na si vinginevyo.
Bahati mbaya hivi sasa CCM imejipa jeuri ya kuidhsrsu serikali na kutuaminisha sisi kuwa CCM ndiyo yenye amri zote nchini!
Kitendo cha CCM kinaondoa uhalali wa serikali kuwepo jambo ambalo halina afya kwa taifa.
Pia soma:
Thread 'Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar' Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar
Historia ya utendaji wa Shaka haumpi kibali cha kuwatetea Wamachinga wala Watanzania kwa ujumla wao. Shaka ana historia chafu ya kupokea rushwa. Hatua iliyo fikia kusimamishwa kazi.Kauli ya Shaka kutengua amri ya mkuu wa mkoa inaonesha umuhimu wa ulazima wa katiba mpya, serikali za nchi zenye mfumo wa vyama vingi serikali ndiyo huongoza nchi na wananchi tunatakiwa tuisikilize serikali na si vinginevyo.
Bahati mbaya hivi sasa CCM imejipa jeuri ya kuidhsrsu serikali na kutuaminisha sisi kuwa CCM ndiyo yenye amri zote nchini!
Kitendo cha CCM kinaondoa uhalali wa serikali kuwepo jambo ambalo halina afya kwa taifa.
Pia soma:
Thread 'Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar' Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar
Serikali ni ya CCM mzee!!!Kauli ya Shaka kutengua amri ya mkuu wa mkoa inaonesha umuhimu wa ulazima wa katiba mpya, serikali za nchi zenye mfumo wa vyama vingi serikali ndiyo huongoza nchi na wananchi tunatakiwa tuisikilize serikali na si vinginevyo.
Bahati mbaya hivi sasa CCM imejipa jeuri ya kuidhsrsu serikali na kutuaminisha sisi kuwa CCM ndiyo yenye amri zote nchini!
Kitendo cha CCM kinaondoa uhalali wa serikali kuwepo jambo ambalo halina afya kwa taifa.
Pia soma:
Thread 'Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar' Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar
Sasa vurugu tuKauli ya Shaka kutengua amri ya mkuu wa mkoa inaonesha umuhimu wa ulazima wa katiba mpya, serikali za nchi zenye mfumo wa vyama vingi serikali ndiyo huongoza nchi na wananchi tunatakiwa tuisikilize serikali na si vinginevyo.
Bahati mbaya hivi sasa CCM imejipa jeuri ya kuidhsrsu serikali na kutuaminisha sisi kuwa CCM ndiyo yenye amri zote nchini!
Kitendo cha CCM kinaondoa uhalali wa serikali kuwepo jambo ambalo halina afya kwa taifa.
Pia soma:
Thread 'Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar' Shaka apiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia katikati ya Mji wa Dar
CCMHii nchi ni ya vyama vingi, sasa unaposema chama ndio Baba wa Serikali ni chama kipi!
Na itaendelea kua hivyo miaka mingi mbeleni,na ninya zitabaki kuwa kauli zena ila CCM ni mbele kwa mbele.Maccm hayakupewa kura bali yalipora uchaguzi kupitia polisiccm na Tume FEKI ya uchaguzi.
Kura walipewa na Tume ya Uchaguzi, sio wananchiIsikilize CCM. CCM ndio walipita mitaani kuomba kura na mkawapa kura, ..
Afu hadharani !Shaka anamuonya IGP! Sijui baadaye atamuonya director wa TISS.