CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #61
Hawa ndio aina ya viongozi CCm inapaswa kuwatunza. Wamekulia chamani na sio Mamluki kama wengine. Wamewekwa pembeni kidogo wameanza mipasho na kujifanya wakosoaji.
Kwa mwenendo wa Shaka naamini chama kinaandaa viongozi makini wa Sasa na baadae. Aendelee kuchapa kazi. Na hasa aweke msisitizo kwenye hiyo bandari ya kimkakati inayoweza kuhudumia Tz,Malawi,Zambia na Kaskazini ya Msumbiji.
Viva Samia VivaClick to expand...
14|10|2021Shaka nilitegemea unakuta mradi unasua sua maamuzi yanachukuliwa. Lakini kufoka haitosaidia. Unaondoka hapo wanarudi kule kule.
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidiHuyu jamaa nauhakika atairudisha CCM kwa watu zaidi,
Shaka amekuwa too humble down the earth,
View attachment 1943168
BossπKwenye muundo wa serikali, yeye ni nani? Wadhifa wake?
π[|Kazi anazofanya Rais Samia zinaacha alama kwa kikazi hiki na kizazi kijacho,
Hongera sana Mama Samia wetu, ]|
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,Huyu jamaa nauhakika atairudisha CCM kwa watu zaidi,
Shaka amekuwa too humble down the earth,
View attachment 1943168
ππΏππΏππΏππΏNawasalimu kwa jina la JMT,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika Mkoa wa Mtwara.
Shaka ameonekana kutoridhishwa na kasi ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025,Pamoja na serikali kutoa 157.8BL kwaajili ya Ukarabati wa bandari ya Mtwara kwaajili ya kutoa ajira mpya kwa Watanzani mradi bado unasuasua hali iliyopelekea Shaka kutoa Kalipio kali kwa Uongozi wa Mkoa wa Mtwara.
Shaka amewaonya vikali watendaji wa Serikali wanaotaka kukwamisha maendeleo ya Watanzania na kwakufanya hivyo Wanamkwamisha Rais Samia Suluhu Hassan katika juhudi zake za kuharakisha na kurahisisha maendeleo ya Wanamtwara na Watanzania kwa ujumla wake.
View attachment 1943022
GoodRais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,
miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000
Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Nani kawazuia?Wapinzani wanaweza kuzunguka kuongea na wananchi?
Publicity mkuu!Mbona bandari imekarabatiwa na shughuli za kusafirisha korosho zinafanyika,shida gani kaiona ?
Mbona wanunuzi wa korosho wanaikataa?Publicity mkuu!
Hapo ni kutafuta PROMO, cheap political mileage.
Umewasahau fisiemu?!
Everyday is Saturday................................π
Sijui watuambie sababu, COZ mwendakuzimu, alituambia kamaliza, kila kitu fresh,Mbona wanunuzi wa korosho wanaikataa?
Mtu na nusu huyu bwana,Nawasalimu kwa jina la JMT,