Shaka: Tumeahidi ajira milioni 8 kwenye Ilani ya CCM, tumetoa Tshs 157.8 Bilioni kwa ajili ya ukarabati wa bandari ya Mtwara

Kuna sehemu tulipotea huu ni mtazamo Wangu,
Sijui watuambie sababu, COZ mwendakuzimu, alituambia kamaliza, kila kitu fresh,
Labda ilikuwa tayari kwa kushushia mafuta tu.

Everyday is Saturday................................😎
 
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
Mtu na nusu Shaka
 
👇🏿👇🏿👇🏿


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
Nzuri sana hii aise
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
CCM CHAMA
 
 
Safi kabisa Mr Shaka
 
Huyu bwana anawapa shida sana CHADEMA Tz
 
Kaziiendelee kwa kasi hii,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
 
#happy birthday Tanganyika
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania,

#Endeleeni kumsapoti Mama,
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…