Shaka: Tumeahidi ajira milioni 8 kwenye Ilani ya CCM, tumetoa Tshs 157.8 Bilioni kwa ajili ya ukarabati wa bandari ya Mtwara

Kwa speed hii ya Rais Samia, Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
"Team JF "

Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku hadi siku, nilazima kuchanja kwa hiari ili kujinga,

#Kuwa Supa kachanje,
 
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
MACHINGA ndio Ajira mil.8

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kaziiendelee Tanzania
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais wa kweli basi ni sasa, Mungu tujalie heri kuelekea 2025|30
 
Huyo jamaa ana mamlaka gani serikalini?
Chama chake ndio kimeunda serikali. Hivyo anasimamia kama serikali inatekeleza Ilani ya chama chake.

Anayo mamlaka ya kumwajibisha kiongozi wa kiserikali anayetokana na chama chake kama waziri, mbunge, na naibu waziri.
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Waongo waongo tu hawa, hizo ajira ziko wapi wanatuona sisi ni misukule, wameua sekta binafsi na serikalini ajira hakuna.

Na sasa wameanza kuchoma masoko ambayo vijana wanajiajiri, kisha wanakuja na kauli za kebehi na dharau eti watanzania ni wavivu na tunachagua kazi bullshit hovyo sana hawa watu.
 
Matamko ya wanasiasa hayana analysis, sikiliza a hana nayo. Fikiria swala la ajira 8m. Tanzania ina watu 60m, 30m wakiwa ni watoto. 30m inaaminishwa 80% ni wakulima na wafugaji ie 24m. Wanabaki 6m ambayo wamo walio na ajira tayari, wafungwa, wagonjwa, vikongwe nk. Ajira 8m unawaaminisha watu uta leta na wageni kupata ajira! Hizo ni ngonjera za wanasiasa kujiandaa uchaguzi.
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Tanzania nchi nzuri sana kwa uwekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…