Shaka: Tumeahidi ajira milioni 8 kwenye Ilani ya CCM, tumetoa Tshs 157.8 Bilioni kwa ajili ya ukarabati wa bandari ya Mtwara

Haya ni maajabu ya mwaka mmoja wa Mama,

Vipi akimaliza kumi?
 
Nami nasubiri majibu hapa, anakagua miradi ya serikali kama nani.
CCM ndio inaongoza serikali, ndio ilani yake inatumika. Huyo anatumwa na mwenyekiti wa CCM ambaye ni rais ambaye ni mtendani mkuu wa serikali.

Ni bosi anayesimamia miradi yote ya serikali japokuwa hajaandikwa vitabuni.
 
fact
 
CCM mbele kwa
CCM MBELE KWA MBELE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…