Shaka: Watanzania watampa Rais Samia tuzo ya heshima mwaka 2025

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025

Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo

Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, Watanzania watampa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

Amesema Rais Samia meonyesha uungwana wa hali ya juu kwa kuendelea kuchapa kazi yenye tija na kuleta matokeo mazuri ikiwemo kutekeleza miradi ya maji yenye lengo la kupunguza na kuondoa changamoto ya upatikanaji wake katika maeneo mbalimbali nchini.

Shaka ameyasema hayo leo Novemba 11, 2022 wakati akizindua mradi maji wa Kimbiji uliopo Kigamboni Dar es Salaam na kukabidhi mitambo ya kutafuta na kuchimba visima virefu vya maji na kukabidhi eneo la uchimbaji bwwa la Kidunda kwa mkandarasi atakayetekeleza mradi huo.

"Kwa heshima unayoileta Watanzania watakupa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

"Mheshimiwa Rais Samia hongera sana kwa mzigo huu unaochapa yuko mshairi alisema na yuko mshairi alitunga tungo 'ada ya mja ni kunena' akimaanisha kwamba kawaida ya binadamu ni kusema 'muungwana ni vitendo na kila aliyemuungwana atatenda. Mheshimiwa Rais wewe ni muungwana wa taifa hongera sana.

"Akamalizia (mshairi) kusema tenda watu wataona majigambo weka kando. Mheshimiwa Rais unatenda, huna zogo, huna mbwembwe unawaletea maendeleo wananchi vijana wa mjini wanasema unakimbiza kimyakimya," amesema.

Amesema pamoja na ukame uliopo kwa sasa ambao umesababisha upungufu wa maji katika maeneo mbalimbali serikali inafanya kazi nzuri na kwamba Chama kuanzia kamati za siasa za wilaya, mikoa, sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na wajumbe wa Halmashauri Kuu, wametembelea na kujiridhisha kuna miradi ya maji 1,194, hivyo nchi nzima inaguswa na utekelezaji huo.
 
Attachments

  • VID-20221111-WA0437.mp4
    32.8 MB
Hakika watanzania wanakwenda kumpatia zawadi ya kura za kishindo Rais Samia uchaguzi ujao Kama Asante ya kazi kubwa aliyoifanya kuwatumikia watanzania na kuhitaji utumishi wake kwa miaka mingine mitano mpaka 2030.
 
SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025

Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo

Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, Watanzania watampa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

Amesema Rais Samia meonyesha uungwana wa hali ya juu kwa kuendelea kuchapa kazi yenye tija na kuleta matokeo mazuri ikiwemo kutekeleza miradi ya maji yenye lengo la kupunguza na kuondoa changamoto ya upatikanaji wake katika maeneo mbalimbali nchini.

Shaka ameyasema hayo leo Novemba 11, 2022 wakati akizindua mradi maji wa Kimbiji uliopo Kigamboni Dar es Salaam na kukabidhi mitambo ya kutafuta na kuchimba visima virefu vya maji na kukabidhi eneo la uchimbaji bwwa la Kidunda kwa mkandarasi atakayetekeleza mradi huo.

"Kwa heshima unayoileta Watanzania watakupa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

"Mheshimiwa Rais Samia hongera sana kwa mzigo huu unaochapa yuko mshairi alisema na yuko mshairi alitunga tungo 'ada ya mja ni kunena' akimaanisha kwamba kawaida ya binadamu ni kusema 'muungwana ni vitendo na kila aliyemuungwana atatenda. Mheshimiwa Rais wewe ni muungwana wa taifa hongera sana.

"Akamalizia (mshairi) kusema tenda watu wataona majigambo weka kando. Mheshimiwa Rais unatenda, huna zogo, huna mbwembwe unawaletea maendeleo wananchi vijana wa mjini wanasema unakimbiza kimyakimya," amesema.

Amesema pamoja na ukame uliopo kwa sasa ambao umesababisha upungufu wa maji katika maeneo mbalimbali serikali inafanya kazi nzuri na kwamba Chama kuanzia kamati za siasa za wilaya, mikoa, sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na wajumbe wa Halmashauri Kuu, wametembelea na kujiridhisha kuna miradi ya maji 1,194, hivyo nchi nzima inaguswa na utekelezaji huo.
Wananchi mhhhh labda
 
Shaka hujatambua cha kuwaambia Watanzania , kuhusu Samia.
Njoo inbox
 
Shaka hajui shida za watanzania..
.

Inabidi walete mgombea mwingine, lambda kama kura zitapigwa na walamba asali pekee.
 
Da kuna watu wanaroho mgum sana .hawa watanzania wa wapi si mpaka 2025 watakuwa wwmeshifariki kwa njaa
 
SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025

Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo

Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, Watanzania watampa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

Amesema Rais Samia meonyesha uungwana wa hali ya juu kwa kuendelea kuchapa kazi yenye tija na kuleta matokeo mazuri ikiwemo kutekeleza miradi ya maji yenye lengo la kupunguza na kuondoa changamoto ya upatikanaji wake katika maeneo mbalimbali nchini.

Shaka ameyasema hayo leo Novemba 11, 2022 wakati akizindua mradi maji wa Kimbiji uliopo Kigamboni Dar es Salaam na kukabidhi mitambo ya kutafuta na kuchimba visima virefu vya maji na kukabidhi eneo la uchimbaji bwwa la Kidunda kwa mkandarasi atakayetekeleza mradi huo.

"Kwa heshima unayoileta Watanzania watakupa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

"Mheshimiwa Rais Samia hongera sana kwa mzigo huu unaochapa yuko mshairi alisema na yuko mshairi alitunga tungo 'ada ya mja ni kunena' akimaanisha kwamba kawaida ya binadamu ni kusema 'muungwana ni vitendo na kila aliyemuungwana atatenda. Mheshimiwa Rais wewe ni muungwana wa taifa hongera sana.

"Akamalizia (mshairi) kusema tenda watu wataona majigambo weka kando. Mheshimiwa Rais unatenda, huna zogo, huna mbwembwe unawaletea maendeleo wananchi vijana wa mjini wanasema unakimbiza kimyakimya," amesema.

Amesema pamoja na ukame uliopo kwa sasa ambao umesababisha upungufu wa maji katika maeneo mbalimbali serikali inafanya kazi nzuri na kwamba Chama kuanzia kamati za siasa za wilaya, mikoa, sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na wajumbe wa Halmashauri Kuu, wametembelea na kujiridhisha kuna miradi ya maji 1,194, hivyo nchi nzima inaguswa na utekelezaji huo.
Huyu ndio Rais ambae nimeona ana mipango na anatekeleza masuala yanyogusa maisha ya watu directl..

Ushauri wangu apunguze utitiei wa mataasisi,mawizara na unnecessary govt expenditure ili kufanya vizuri zaidi..

Hili la kufunguka soko.la China limenifurahisha sana.
 
SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025

Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo

Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, Watanzania watampa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

Amesema Rais Samia meonyesha uungwana wa hali ya juu kwa kuendelea kuchapa kazi yenye tija na kuleta matokeo mazuri ikiwemo kutekeleza miradi ya maji yenye lengo la kupunguza na kuondoa changamoto ya upatikanaji wake katika maeneo mbalimbali nchini.

Shaka ameyasema hayo leo Novemba 11, 2022 wakati akizindua mradi maji wa Kimbiji uliopo Kigamboni Dar es Salaam na kukabidhi mitambo ya kutafuta na kuchimba visima virefu vya maji na kukabidhi eneo la uchimbaji bwwa la Kidunda kwa mkandarasi atakayetekeleza mradi huo.

"Kwa heshima unayoileta Watanzania watakupa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

"Mheshimiwa Rais Samia hongera sana kwa mzigo huu unaochapa yuko mshairi alisema na yuko mshairi alitunga tungo 'ada ya mja ni kunena' akimaanisha kwamba kawaida ya binadamu ni kusema 'muungwana ni vitendo na kila aliyemuungwana atatenda. Mheshimiwa Rais wewe ni muungwana wa taifa hongera sana.

"Akamalizia (mshairi) kusema tenda watu wataona majigambo weka kando. Mheshimiwa Rais unatenda, huna zogo, huna mbwembwe unawaletea maendeleo wananchi vijana wa mjini wanasema unakimbiza kimyakimya," amesema.

Amesema pamoja na ukame uliopo kwa sasa ambao umesababisha upungufu wa maji katika maeneo mbalimbali serikali inafanya kazi nzuri na kwamba Chama kuanzia kamati za siasa za wilaya, mikoa, sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na wajumbe wa Halmashauri Kuu, wametembelea na kujiridhisha kuna miradi ya maji 1,194, hivyo nchi nzima inaguswa na utekelezaji huo.
huyu kijana anawakosea heshima wananchi walivyopigika hivi heshima watakayompa ni kuikataa ccm na washirika wake
 
Kwa nini watu wenye low IQ hupenda Sana kujikweza kwa wakubwa zao regardless your education etc etc. Hata uko makazini watu wengi wenye low IQ huwa wanalamba matako ya mabosi zao sana. Mwisho ndo hi uwa wanakuwa appointed kuwa wakubwa sehemu bila kujali uwezo wao kiutendaji.
 
SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025

Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo

Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, Watanzania watampa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

Amesema Rais Samia meonyesha uungwana wa hali ya juu kwa kuendelea kuchapa kazi yenye tija na kuleta matokeo mazuri ikiwemo kutekeleza miradi ya maji yenye lengo la kupunguza na kuondoa changamoto ya upatikanaji wake katika maeneo mbalimbali nchini.

Shaka ameyasema hayo leo Novemba 11, 2022 wakati akizindua mradi maji wa Kimbiji uliopo Kigamboni Dar es Salaam na kukabidhi mitambo ya kutafuta na kuchimba visima virefu vya maji na kukabidhi eneo la uchimbaji bwwa la Kidunda kwa mkandarasi atakayetekeleza mradi huo.

"Kwa heshima unayoileta Watanzania watakupa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.

"Mheshimiwa Rais Samia hongera sana kwa mzigo huu unaochapa yuko mshairi alisema na yuko mshairi alitunga tungo 'ada ya mja ni kunena' akimaanisha kwamba kawaida ya binadamu ni kusema 'muungwana ni vitendo na kila aliyemuungwana atatenda. Mheshimiwa Rais wewe ni muungwana wa taifa hongera sana.

"Akamalizia (mshairi) kusema tenda watu wataona majigambo weka kando. Mheshimiwa Rais unatenda, huna zogo, huna mbwembwe unawaletea maendeleo wananchi vijana wa mjini wanasema unakimbiza kimyakimya," amesema.

Amesema pamoja na ukame uliopo kwa sasa ambao umesababisha upungufu wa maji katika maeneo mbalimbali serikali inafanya kazi nzuri na kwamba Chama kuanzia kamati za siasa za wilaya, mikoa, sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na wajumbe wa Halmashauri Kuu, wametembelea na kujiridhisha kuna miradi ya maji 1,194, hivyo nchi nzima inaguswa na utekelezaji huo.
Kwa kazi ipi mfumuko wa bei na wizi
 
SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025

"Kwa heshima unayoileta Watanzania watakupa tuzo iliyotukuka na ya heshima mwaka 2025.
Naunga mkono hoja, ya Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! ila pia tuzingatie hoja kinzani kama hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Asijali, cha muhimu tuombewe tu tuwe tunapumua maana kuna dalili kwamba wananchi wenyewe tunaweza kuwa tumekufa na njaa.
 
Back
Top Bottom