SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA.
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan alivyo na utayari na umakini kwa watanzania.
Pamoja na hayo, Shaka amesema watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania.
#KaziIendelee
#TunaImaniNaSamia