Wana CCM bhanaa!!!SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA.
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan alivyo na utayari na umakini kwa watanzania.
Pamoja na hayo, Shaka amesema watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania.
#KaziIendelee
#TunaImaniNaSamia
Kwa nini kila kitu mnasingizia wasaidizi? Kila mtu abebe msalaba wake.Mama samia anafalsafa nzuri Sana tatizo lipo kwa wasaidizi wake
Anaamini katika kuwafanya wananchi kuwa na Amani.Zipi hzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani si ni yale yale mambo ya wanawake wanaweza?SHAKA: TUTEGE MASIKIO TAREHE 09 RAIS ANA JAMBO KWA WATANZANIA.
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka amesema mpaka kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 Ilani ya Uchaguzi ya 2020/25 itakua imetekelezwa kwa zaidi ya asilimia 100 kwa namna Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan alivyo na utayari na umakini kwa watanzania.
Pamoja na hayo, Shaka amesema watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania.
#KaziIendelee
#TunaImaniNaSamia
Falsafa gani? Kazi iendelee ni Falsafa au Haki za Wanawake kuwa sawa na wanaume? Hebu CCM Msaidieni ajue namna ya kupambanua hayo mambo. Bila Maono Kiongozi wa Nchi unakuwa huna tofauti na Diwani.Mama samia anafalsafa nzuri Sana tatizo lipo kwa wasaidizi wake
Unataka kumanisha viongozi jamii ya akina Mhamedi maono yao ni kucheka Cheka ama??Hivi ni lini araonekana Raisi mwenye maono na Falsafa? Mwl. Nyerere, Mkapa na Magufuli wote hao ulikuwa ukiwasikiliza unaona wamebeba Falsafa na maono Fulani. Hebu tusaidie maono na Falsafa yake
Hapana sina maana hiyo. Maono au Falsafa haina uhusiano na Dini wala Kabila ila yana uhusiano na natural ability.Unataka kumanisha viongozi jamii ya akina Mhamedi maono yao ni kucheka Cheka ama??
Tuwe na subira, Labda chakula kimeshaivishwaMambo yenyewe ndio haya ya kulambana miguu?
View attachment 1967243
Ukiona wasaidizi wanakuangusha na wewe uko hai ina maana uwezo wako unakuwa mdogo kulinganisha na wa hao wasaidizi.Kwa nini kila kitu mnasingizia wasaidizi? Kila mtu abebe msalaba wake.
Mbona kwenye mema hamsemi yamefanywa na wasaidizi wake?