Shaka: Watanzania watege sikio tarehe 09 Oktoba Dodoma, Rais ana jambo la kuwaambia watanzania

Rais wetu yuko vizuri sana.
Mungu atupe nini,
Hakika Rais Samia Suluhu Hassan ni ZAWADI kutoka kwake Mungu muumba.
Watanzania wote tunasema Ahsante sana Mungu.
 
Pengine kipindi Mkapa anaingia madarakani ulikuwa mtoto wa miaka 2 hujashuhudia uongozi wa mzee Mwinyi na Mwalimu Nyerere ni kuwa umewasoma na kusimuliwa halafu unataka nipoteze mda wangu Hahahaa dah.
Nataka Takwimu za Miezi 6 ya Mkapa na Magufuli sio blaa blaa zako hizo kama ramli
 
Kwa nini kila kitu mnasingizia wasaidizi? Kila mtu abebe msalaba wake.

Mbona kwenye mema hamsemi yamefanywa na wasaidizi wake?
Vilaza wa chama dola ni laana kwa taifa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ajue mipaka ya kazi yake,inatosha kusema "Mwenyekiti" na si Rais.Mambo ya Rais yana msemaje wake!!
 
Yaan Ni sawa na kusema uchumi umekua kwenye makaratasi...wananchi mtaani maeneo mengi malalamiko Ni mengi ikiwemo vitu kupanda Bei kwa kweli hawamwelewi mama..Sasa ndio aje na story za kujenga madarasa sijui blala blaaa wananchi HAWAMWELEWI

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe Leta za mvaa Maushungi kwa hapa nami nitakuletea za Magufuli na Mkapa unalinganisha wanaume wenye guts na huyu Maushungi very funny.
Mna chuki na Samia sababu ya dini yake kumbe kenge nyinyi, inawauma akivaa ushungi??;

Furaha yako avae umini na kichwa wazi Kama nyinyi!!?

Na mwaka 2035 akimaliza Samia, Ni zamu Ya January Makamba, au Ridhiwani Kikwete,

Tumejifunza mkiongoza Nchi mnakuwa na roho mbaya Sana!!
 
Hey dude umepata Breakfast ya maana kweli au umeamkia viporo vya jana kwahiyo vinalisumbua tumbo lako Hahahaa.
 
Wewe Leta za mvaa Maushungi kwa hapa nami nitakuletea za Magufuli na Mkapa unalinganisha wanaume wenye guts na huyu Maushungi very funny.
Utakimbia wewe mjinga mwenye chuki Samia hamuwezi..

Nataka tuanze na kipindi cha miezi 6..twende Kazi 👇









 
Hey dude umepata Breakfast ya maana kweli au umeamkia viporo vya jana kwahiyo vinalisumbua tumbo lako Hahahaa.
Hizo chuki zako za kidini kwa Samia zitakughalimu afya yako, Kuvaa kwake ushungi kunakukera ,unataka avae Rozali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…