Shaka Zulu alichinja zaidi ya watu 7000 ndani ya mwaka mmoja tu

Shaka Zulu alichinja zaidi ya watu 7000 ndani ya mwaka mmoja tu

FM facts

Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
45
Reaction score
88
Jina lake kamili anaitwa 'Shaka kaSenzangakhona' alikua maarufu kwa jina la 'Shaka Zulu'. Alizaliwa mwaka 1787 huko Kwazulu-Natal Afrika Kusini na kufariki mwaka 1828 akiwa na miaka 41. Alikuwa mfalme wa himaya ya Wazulu huko Afrika Kusini kuanzia mwaka 1816 –1828 akichukua Ufalme kutoka kwa baba yake 'Senzangakhona kaJama' aliyefariki.

Shaka Zulu alikua anampenda sana sana mamayake mzazi 'Nandi kaBhebhe' kiasi kwamba mamayake huyo alipofariki October 10, 1827, Shaka akaanza kufanya mauaji!

Inaelezwa kuwa kila asubuhi alipokua anaamka alikua anawachinja wanawake waliojifungua siku za karibuni pamoja na waume zao, anawachinja wanawake waliokua na ujauzito, anawachinja watu waliokua hawaoneshi huzuni/hawasikitiki juu ya kifo cha mama yake, hata ng'ombe aliyeonekana mjamzito au alitejifungua hivi karibuni allikua anachinjwa!.

Lengo kubwa la kufanya hivyo lilikua ni kutaka pia watu wapate maumivu/uchungu aliokuwa anaupata yeye kwa kumpoteza mama yake mzazi.

Zaidi ya watu 7,000 waliuwawa kwa kuchinjwa na Shaka Zulu ndani ya mwaka mmoja tu, lakini pia licha ya kuuwa kiasi hicho, Shaka pia alipiga marufuku mtu yeyote wa Himaya ya Wazulu kupanda zao lolote shambani kwa mwaka huo.

Mama yake alizaliwa 1760 na kufariki October 10, 1827 kwa matatizo ya utumbo na katika maisha yake yote alimzaa mtoto mmoja tu ambaye ndiye Shaka Zulu.

Shaka Zulu alikua na uchungu sana kwa mama yake kwasababu mama yake alikuwa wa kabila lingine la 'Langei' na baba yake alikua kutoka katika kabila la Wazulu.

Baada ya ujauzito mamayake alitotoka nyumbani na kwenda kuishi milimani/porini pekeake kwani iliamriwa mtoto akizaliwa auwawe kwasababu iliaminika kuwa angekua mkosi katika kabila lao kutokana na baba yake kuwa kabila tofauti.

Baadae jambo hilo liliisha kwa baba yake Shaka Zulu kulipa faini ya mifugo 50.

Shaka zulu aliwahi pewa amri na wakoloni kwamba aachane na mila/tamaduni na aipokee dini vinginevyo atachomwa moto akiwa hai!, shaka akwajibi tuu kwamba "huku kwetu tunakula moto".

Shaka Zulu naye aliuawa mwaka mmoja tu baada ya mama yake kufa, kwasabababu tangu mamayake afariki alianza kufanya mauwaji hayo kila siku hadi siku ya mwisho naye anauwawa bado alikua anachinja watu tu.

Tufollow Instagram @fm_facts


IMG_20190414_092127_653.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina lake Anaitwa 'Shaka kaSenzangakhona' Maarufu kwa Jina la 'Shaka Zulu', Alizaliwa Mwaka 1787 Huko Kwazulu-Natal A.Kusini na Kufariki Mwaka 1828 Akiwa na Miaka 41, Alikua Mfalme wa Himaya ya Wazulu Huko Afrika Kusini Kuanzia Mwaka 1816 –1828 Akichukua Ufalme Kutoka kwa Babayake 'Senzangakhona kaJama' Aliyefariki.

Shaka Zulu Alikua Anampenda Sana Sana Mamayake Mzazi 'Nandi kaBhebhe' Kiasi Kwamba Mamayake Huyo Alipofariki October 10, 1827, Shaka Akaanza Kufanya Mauwaji!. .
.
Inaelezwa Kuwa Kila Asubuhi Alipokua Anaamka Alikua Anawachinja Wanawake Waliojifungua Siku za Karibuni Pamoja na Waume Zao, Anawachinja Wanawake Waliokua na Ujauzito, Anawachinja Watu Waliokua Hawaonyeshi Huzuni Juu ya Kifo cha Mama Yake, Hata Ngombe Aliyeonekana Mjamzito au Alitejifungua Hivi Karibuni Alikua Anachinjwa!. .
.
Lengo Kubwa la Kufanya hivyo Lilikua ni Kutaka Pia Watu Wapate Maumivu/Uchungu Aliokuwa Anaupata yeye Kwa Kumpoteza Mama Yake Mzazi.

Zaidi ya Watu 7,000 Waliuwawa kwa Kuchinjwa na Shaka Zulu Ndani ya Mwaka Mmoja tuu, Lakini Licha ya Kuuwa Kiasi hicho, Shaka pia Alipiga Marufuku Mtu Yeyote wa Wazulu Kupanda Zao Lolote Shambani kwa Mwaka Huo.

Mama Yake Alizaliwa Mwaka 1760 na Kufariki 10.10.1827 Kwa Matatizo ya Utumbo na Katika Maisha yake Yote Alimzaa Mtoto Mmoja tuu Ambaye Ndiye Shaka Zulu.

Shaka Zulu Alikua na Uchungu sana Kwa Mamayake Kwasababu Mamayake Alikuwa wa Kabila Lingine la 'Langei' na Baba Yake Alikua Kutoka Katika Kabila la Wazulu.
Baada ya Ujauzito Mamayake Alitoroka na Kwenda Kuishi Milimani Pekeake Kwani Iliamriwa Mtoto Akizaliwa Auwawe Kwasababu Iliaminika kuwa Angekua Mkosi katika Kabila lao Kutokana na Baba Yake Kuwa Kabila Tofauti.

Baadae Jambo Hilo Liliisha kwa Baba Yake Shaka Kulipa Faini ya Mifugo 50.
Shaka Zulu Aliwahi Pewa Amri na Wakoloni Kwamba Aachane na Mila/Tamaduni na Aipokee Dini Vinginevyo Atachomwa Moto Akiwa Hai!, Shaka Akwajibi tuu Kwamba "Huku Kwetu Tunakula Moto". .
.
.Shaka Zulu Nae Aliuwawa Mwaka Mmoja tuu Baada ya Mama yake Kufa, Kwani Tangu Mamayake Afariki Alianza Kufanya Mauwaji Hayo Kila Siku Hadi Siku ya Mwisho Anauwawa Bado Alikua Anachinja Watu tuu.

#tuvituvitu
#Jewajua
#fmfacts
#shakazulu #Afrika
#Ilovefacts

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
 
Akili za Kiafrika zimekaa hovyohovyo tu, kuna mfalme mwingine wa Afrika kusini alikulia katika mazingira ya umasikini basi akaamuru raia wake wote nao pia wawe masikini, na ole wako ujifanye tajiri atahakikisha unaishi kama mashetani.

Maendeleo hayana chama
 
[QUOTE="

Shaka Zulu Alikua Anampenda Sana Sana Mamayake Mzazi *'Nandi *kaBhebhe' Kiasi Kwamba Mamayake Huyo Alipofariki October 10, 1827, Shaka Akaanza Kufanya Mauwaji!.
Hilo jina la mama yake Lina uhusiano wowote na la mwanamziki wetu?
 
Back
Top Bottom