Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Angalia vizuri Mkuu. Hapo mwisho kuna Hash tag
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia vizuri Mkuu. Hapo mwisho kuna Hash tag
Akili za kiafrika zimekaa hovyohovyo tu, kuna mfalme mwingine wa Afrika kusini alikulia katika mazingira ya umasikini basi akaamuru raia wake wote nao pia wawe masikini, na ole wako ujifanye tajiri atahakikisha unaishi kama mashetani.
Maendeleo hayana chama
Akili za kiafrika zimekaa hovyohovyo tu, kuna mfalme mwingine wa Afrika kusini alikulia katika mazingira ya umasikini basi akaamuru raia wake wote nao pia wawe masikini, na ole wako ujifanye tajiri atahakikisha unaishi kama mashetani.
Maendeleo hayana chama
Sijui[QUOTE="
Shaka Zulu Alikua Anampenda Sana Sana Mamayake Mzazi *'Nandi *kaBhebhe' Kiasi Kwamba Mamayake Huyo Alipofariki October 10, 1827, Shaka Akaanza Kufanya Mauwaji!.
Hilo jina la mama yake Lina uhusiano wowote na la mwanamziki wetu?
Huyo atakuwa na nasaba na malkia,nimekusamehe ocd rudi kazini.Akili za kiafrika zimekaa hovyohovyo tu, kuna mfalme mwingine wa Afrika kusini alikulia katika mazingira ya umasikini basi akaamuru raia wake wote nao pia wawe masikini, na ole wako ujifanye tajiri atahakikisha unaishi kama mashetani.
Maendeleo hayana chama
Usitudanganye wewe, unadhani sote ni dot com hatusomi vitabu eeh!Amazulu=Zulu ni neno lililobuniwa na Shaka baada ya kupigana na kushinda Vita nyingi. Sasa mama yake angeitwaje mzulu!
Sent using Jamii Forums mobile app
ahaaa nimrmkumbukaaAkili za kiafrika zimekaa hovyohovyo tu, kuna mfalme mwingine wa Afrika kusini alikulia katika mazingira ya umasikini basi akaamuru raia wake wote nao pia wawe masikini, na ole wako ujifanye tajiri atahakikisha unaishi kama mashetani.
Maendeleo hayana chama
Umekumbuka nini tena mrembo?ahaaa nimrmkumbukaa
we shauri yako utakuja kukutana na MabeyoUmekumbuka nini tena mrembo?
Maendeleo hayana chama
Hahahaaaa Mambo ya Zulu Natal hayo dada Hijja,we shauri yako utakuja kukutana na Mabeyo
unamnanga mfalume Shaka
mimi ni mwanamke wa chuma sinaga tabasam mara nyingi midume inanipitia mbali Kwer kwerHahahaaaa Mambo ya Zulu Natal hayo dada Hijja,
Ila siku nyingine usiwe unapiga picha huku umenuna sana banaaaa, jitahidi uwe unatabasamu japo kidogo tu.
Maendeleo hayana chama
Hahahaaa kwa hio na wewe ni jiwe kweli kweli?mimi ni mwanamke wa chuma sinaga tabasam mara nyingi midume inanipitia mbali Kwer kwer
Si umtaje tu kuwa ni Jiwe bana, unafichaficha nini!Akili za kiafrika zimekaa hovyohovyo tu, kuna mfalme mwingine wa Afrika kusini alikulia katika mazingira ya umasikini basi akaamuru raia wake wote nao pia wawe masikini, na ole wako ujifanye tajiri atahakikisha unaishi kama mashetani.
Maendeleo hayana chama
Mkuu kastory kako kana ukweli mtupu nimeingia Wikipedia ndipo napo wameeleza hivyo na ndicho kifo cha Mama yake Mzazi (hapo ndipo nduguze Shaka Dingane and Mhlangana, Shaka's half-brothers, wakamuua)Angalia vizuri Mkuu. Hapo mwisho kuna Hash tag