Shakira atangaza kutengana na Gerard Pique

Shakira atangaza kutengana na Gerard Pique

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
FULfzdOXsAISLxA.jpg
Nyota wa muziki Shakira ametangaza kutengana na Gerard Pique ikiwa ni miaka 11 baada ya wawili hao kuwa pamoja na kufanikiwa kupata watoto wawili.

Taarifa hizo zilianza kama tetesi ikidaiwa Pirque alifanya usaliti.

Shakira, 45, ametoa tamko rasmi la kutengana kwao lakini Pique, 35, hajasema chochote

Source: The Sun

=============

Shakira and Barcelona star Pique SPLIT ‘after he was caught cheating’ despite 11 years and two children together

POP singer Shakira has announced her separation from footballer Gerard Pique after 11 years together.

Rumours of the pair's split began to circulate earlier this week, with reports in Spain claiming the Barcelona man had strayed.

And Shakira, 45, has confirmed their separation in a statement via her publicist - although she made no reference to Pique's alleged cheating.

It read: “We regret to confirm that we are parting ways.

"For the well-being of our children, who are our highest priority, we ask that you respect their privacy.

"Thank you for your understanding."

Pique, 35, has yet to release a statement on the separation, nor has he addressed his alleged cheating.

Reports in Spain claim the former Manchester United man has 'staying alone in his own apartment for weeks' following Shakira's discovery of his alleged infidelity.

The World Cup winner is said to have been enjoying Barcelona's famed nightlife with his pals and team-mate Riqui Puig.

And according to Marca, his partying has been 'out of control'.

Pique met Shakira when he was training in Madrid ahead of the 2010 World Cup in South Africa.

The Colombian singer's hit single Waka Waka was the official song for the tournament and the defender appeared in the video.

Pique recalled: "It all started when we were in South Africa and I wrote to her.”

They confirmed they were in a relationship a year later.

Their first child, a boy named Milan, was born in January 2013.

The former couple welcomed their second child, a boy named Sasha, in January 2015.

Before their separation, Pique was quizzed about his failure to tie the knot with the 'Whenever, Wherever' singer.
 
Yale Yale..kuingia kwenye mahusiano kutokana na shinikizo la genye*

Anyway Shakira bado mrembo miaka 45! Lakini kama binti wa miaka 24!
 
Kuna mmoja kazingua inshu za Mahusiano hazitabiriki.

Upungufu wa Pesa, Nguvu za Kiume na Usaliti ni vitu vitatu Wanawake wengi hasa jamii ya wazungu haiwezi kuvumilia. Lazima akisanue tena atataja hadi sababu.
 
Wazungu hawatakagi purukushani mkishindwana kila mmoja anashika 50 zake
 
Ingekuwa Bongo ungeshasikia za kichwa!! Wenzetu wazungu hawatakagi depressions zisizo za maana likija suala la mahusiano hapo hata Shakira akiwa na mahusiano mengine kwenye events za watoto Pique anaweza kwenda nyumbani kwa mume mpya wa Shakira na wakagonga cheers na mume mwenzie na kuulizana "mzee mwenzangu unaionaje hii mbususu" na wakacheka na kufurahi huku Bongo watu wanadai kumuoa mwanamke mwenye mtoto ni mpaka ulione kaburi la mzazi mwenzie😆
 
Dah! Nkitafakari yale mauno na sauti ya shakira, duh.. genye mbaya sana.
Ukiona dem aliepita nae, ni wa kawaida sana japo traqo lipo kiasi chake.
Leta pocha ya huyo mrembo tulione tako hilo
 
Ingekuwa Bongo ungeshasikia za kichwa!! Wenzetu wazungu hawatakagi depressions zisizo za maana likija suala la mahusiano hapo hata Shakira akiwa na mahusiano mengine kwenye events za watoto Pique anaweza kwenda nyumbani kwa mume mpya wa Shakira na wakagonga cheers na mume mwenzie na kuulizana "mzee mwenzangu unaionaje hii mbususu" na wakacheka na kufurahi huku Bongo watu wanadai kumuoa mwanamke mwenye mtoto ni mpaka ulione kaburi la mzazi mwenzie😆
Eti wanagonga story unainoje mbususu ya mrembo🤣🤣🤣🤣🤣

I love jf jamani yaani inanipa raha
 
Huu mwaka ni wa kuachana, Yani mkivuka Desemba wewe na mai wako hamjaachana mshukuru...
Kama imefeli ndoa ya Bill Gates na mihela yake, huku Shakira na miuno yake....Sisi ni nani tusiachane.🤣
 
Huu mwaka ni wa kuachana, Yani mkivuka Desemba wewe na mai wako hamjaachana mshukuru...
Kama imefeli ndoa ya Bill Gates na mihela yake, huku Shakira na miuno yake....Sisi ni nani tusiachane.🤣
Tunangoja ya navy kenzo ni swala la muda tu
 
Back
Top Bottom