Shakira atangaza kutengana na Gerard Pique

Shakira atangaza kutengana na Gerard Pique

Lakin usalit inaonekana n jins
Gani unawaumiza Sana wanawake
Akigundua umemcheat na alikupenda
N ngumu Sana kuvumilia hayo mahusiano
 
Aisee nilikuwa nasubiri hii fursa ngoja nimuibukie Shakira nikakamate goma for me and myself
 
Mnapiga story mwishowe anakwambia vipi mwanaume sii tupige group sex uje na mkeo 🤣🤣🤣🤣
Wenzetu hawashindwi ukitaka uone tabia za wazungu utazipata kwenye porn kuna baadhi ya Porn zinaakisi maisha halisi ya wazungu utakuta mara stepmom seduces stepson,mara familia wanapiga group sex hayo ni mambo ya kawaida sana kwa wenzetu...kule kuna open Marriage ambapo mnafunga ndoa lakini mwanamke akimiss dushelele la mchepuko anakwambia kabisa naenda kwa fulan kuchakatana kwa muda wa miaka kadhaa then nitarudi kwako tuendelee na ndoa yetu😁
 
Huu mwaka ni wa kuachana, Yani mkivuka Desemba wewe na mai wako hamjaachana mshukuru...
Kama imefeli ndoa ya Bill Gates na mihela yake, huku Shakira na miuno yake....Sisi ni nani tusiachane.🤣
Kadiri unavyokuwa na pesa ndivyo kiwango cha uchepukaji kinaongezeka kwa sisi wanaume chukua hiyo.Siku ukiona mumeo amedaka mkwanja mrefu kaa chonjo
 
Dogo dogo watamu sana bhana...

Nikivuta picha ya Shakira show ya world cup south ah ah.. Wana walimaliza miche na vicherema sana tu..

Malegend tukajipa moyo, Gari ikiwa na mzigo speed yake ni tofauti na ikiwa haina mzigo.
 
Kila nikivuta viuno vya kwenye video ya nyimbo beautiful liar natamani kumuonja Shakira,
 
Huko mbele kuachana ni kama fashion... Pique kweli umaarufu wake umepungua, ndio maana ametoswa.....kuwa na mwanamke fame kama shakira ni ngumu
 
Piq ndo kazingua anademu timu ya Barcelona wanawake ,nimchezaji
Hulka yetu wanaume ni moja tu... Ndoa haiwezi kuwa na ustawi ikiwa mke hatulii nyumbani. Huyo shakira utaskia leo yupo colombia, mara argentina,mara USA then kwenye tour japan,china ,australia n.k halafu mumewe yupo zake daily jijini barcelona, jiji la vimwana, jiji la starehe kupita spain yote, jiji lenye watoto wakali huyo bibi kizee shakira mwenyewe anasubiri...watoto wakali kutoka latin america wanahamia barcelona kwenda kutafuta life...

Pique ana pesa, usiku ukifika anajifungiaje peke yake nyumbani? Hata kama mm sikubaliani na hilo lazima nikateteme na totoz mtaani.
 
Lakin usalit inaonekana n jins
Gani unawaumiza Sana wanawake
Akigundua umemcheat na alikupenda
N ngumu Sana kuvumilia hayo mahusiano
Shakira ajiulize tu , je anatulia nyumbani au kutwa kiguu na njia kwenye tours zake za mziki duniani? Wanaume vichupa vikijaa huwa hatuna kitu kinaitwa kuvumilia, yaani pique daily anakula anashiba, anarudi mazoezini akae tu mpweke nyumbani wakati mkewe anazunguka kwenye tours huko south n nothern america?

Jamani kuna majiji tuyasikie tu, barcelona ni jiji lingine kabisa....watoto wa kali wa kihispania na latin america wote wapo hapo, watu hawalali pale.

Tembeeni duniani mpaone jinsi kulivyo, barcelona ni jiji lingine kabisa aisee
 
Huu mwaka ni wa kuachana, Yani mkivuka Desemba wewe na mai wako hamjaachana mshukuru...
Kama imefeli ndoa ya Bill Gates na mihela yake, huku Shakira na miuno yake....Sisi ni nani tusiachane.[emoji1787]
Mapenzi ni zaidi ya viuno.. Tendo linachukua muda Mchache mnoo, kuna vingi hapo kati vya msingi zaidi..

Pesa.... [emoji848] Yes, pesa ni catalyst, pesa ni oil kwenye engine , ni muhimu sababu nature ya mwanadamu anapenda raha, ila nayo si kila kitu.

Penzi linoge ni majumuisho ya vitu kibwena, ila na pesa isikosekane, huu ni ukweli ambao sisi masikini wengi hatupendi kuusikia.
 
Mapenzi ni zaidi ya viuno.. Tendo linachukua muda Mchache mnoo, kuna vingi hapo kati vya msingi zaidi..

Pesa.... [emoji848] Yes, pesa ni catalyst, pesa ni oil, ni muhimu sababu nature ya mwanadamu anapenda raha, ila nayo si kila kitu.

Penzi linoge ni majumuisho ya vitu kibwena, ila na pesa isikosekane, huu ni ukweli ambao sisi masikini wengi hatupendi kuusikia.
Mwenye masikio na asikie!
 
Kama umemuoa ndio utajua masuala ya divorce settlement , jinsi gani utampa alimony na child support kila mwezi dadeki
Ukimzingua nzungu hajali cha Tina watoto wala Nini!! Tugawane Kila mmoja ajue 50 zake
 
Yale Yale..kuingia kwenye mahusiano kutokana na shinikizo la genye*

Anyway Shakira bado mrembo miaka 45! Lakini kama binti wa miaka 24!
Hilo dem zee la nini eti nalo linaacha me kijana Loool! ningekuwa mie nakupa na nauri!!...ila nitajifanya kulia kidogo ili uone unanikomoa! lkn moyoni najua ndo mazimaaaaa!!

hunijui sikujui ..........come what may!!!........ ukipita hivi mie npita hivi sinahabari kabisaa!1 nitazaa kivingine lkn pia hutajua kulikoni!
 
Hilo dem zee la nini eti nalo linaacha me kijana Loool! ningekuwa mie nakupa na nauri!!...ila nitajifanya kulia kidogo ili uone unanikomoa! lkn moyoni najua ndo mazimaaaaa!!

hunijui sikujui ..........come what may!!!........ ukipita hivi mie npita hivi sinahabari kabisaa!1 nitazaa kivingine lkn pia hutajua kulikoni!

demu zee shakira!!!!!
 
Back
Top Bottom