Shamba Ekari 2 liko Kibaha Misugusugu Saeni linauzwa milioni 40

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
2,743
Reaction score
1,855
Wakuu salaam. Kuna shamba ekari 2 linauzwa. Shamba liko Kibaha eneo la Misugusugu umbali wa kilomita 2.5 kutoka barabara kuu ya Dar Moro. Shamba linafaa kwa ajili ya kilimo, mifugo, makazi au uwekezaji wa viwanda maana wachina wanaendelea kujenga viwanda maeneo hayo.
Njoo DM tuongee naamini hatuwezi kushindwana. Hii haina udalali maana mimi mwenyewe ndio mmiliki.
Karibuni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…